Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Kupitisha wabunge na madiwani wa CCM bila kupingwa akiwemo Waziri Mkuu.Anajivunia mafanikio makubwa yapi?Mafanikio ya kuinadi CCM?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupitisha wabunge na madiwani wa CCM bila kupingwa akiwemo Waziri Mkuu.Anajivunia mafanikio makubwa yapi?Mafanikio ya kuinadi CCM?
Mlivyowajinga hamuoni hata ujumbe uliojificha kwenye hiyo statement ya huyo mkurugenzi! Kwamba raia wa marekani aitwae Amsterdam amemtisha.Wasiishie tu kumtisha ikiwezekana wamshikishe adabu kabisa.
Si bora huyu kibaraka wa Magufuli kuliko yule kibaraka wa Amsterdam?Kibaraka wa Magufuli! Hana hata tone la aibu.
Ujanja anao[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] ,hana ujanja huyoooo..
Ni beberu wa Lisu.sawa, we endelea kupuuza kanuni na taratibu za uchaguzi ili uvurugike kisha utajua huyo robeti ni nani !!
Si bora huyu kibaraka wa Magufuli kuliko yule kibaraka wa Amsterdam?
Ni bora hata ushindi apewe Lipumba kuliko huyo taahira anaesemewa na mabeberu.
Hapo tu keahajiharibia asahau urais
Hoja ya Lisu kuwa kibaraka inazidi kupata nguvu.Hahaha kumbe Kika mtu huwa anaogopa vitisho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya Mambo haya hitaji double standard yakikufika Roho ya mama lazima inene nawe moyoni ikiitafakari siku uliyoletwa duniani,tutende Hali tukijua ipo siku hatutakuwa na Mamlaka Wala Kinga
Najiuliza Lisu atapigiwa kura na kutangazwa na Amsterdam?Kumbe wakisikia sauti ya beberu nao hutishika, kumbe wanaitambua The Hague. Wao waendele na uchafuzi tu matokeo yake watayaona.
Kwa hiyo nia yenu haki isitendeke.Hizo barua zinamharibia sana Lisu!
Hoja ya Lisu kuwa kibaraka inazidi kupata nguvu
Tume huru inayosemea Watanzania?, Tume inajua wapiga kura wake wanamtaka nani? kulikuwa na haja gani ya kupiga kura ikiwa Watanzania washamchagua? kweli wewe hujui maana ya uhuru.Mlivyo wajinga mnashngilia!
Yani huyu Amsterdam haoni anavyomharibia mteja wake?
Yani tume kutoka nchi huru ya kiafrika inatishwa na raia mmoja toka nje kisa Lisu? Alafu unataka awe rais wa taifa letu?
Never
Subiri oktoba tutampiga Lisu na beberu wake wote kwa pamojaKwa hiyo nia yenu haki isitendeke.