Uchaguzi 2020 NEC yatangaza Nchi na Taasisi zilizoruhusiwa kuwa watazamaji (Observors) wa Uchaguzi Mkuu Oktoba 28

Uchaguzi 2020 NEC yatangaza Nchi na Taasisi zilizoruhusiwa kuwa watazamaji (Observors) wa Uchaguzi Mkuu Oktoba 28

Hoja ya Lisu kuwa kibaraka inazidi kupata nguvu.
mbona kibaraka wa magu nae kaufyata tume inaongozwa kwa kufuata sheria na mihemko mbona kalifuta agizo la polepole la kumtaka Lisu afike mbele ya kamati tarehe 29 au hujasikia?
 
Kwa Vitisho vya Meko hii wiki nzima Dodoma ilikuwa Lazima aanze kulialia..

Lkn asimamie Uchaguzi bila Woga naye Atapata Amani
 
Ukiiona barua yenye wino wa wakili wa kimataifa Amsterdam imeelekezwa moja kwa moja kwako ama unapaswa kuiona nakala yake, basi tambua kosa la uhalifu wa kimataifa linakuhusu. Mwaka huu wa uchaguzi wengi wanababuka kwa moto. Waliozoea vya kunyonga, sasa vya kuchinja wataviwezea wapi?
Waambie hao watazame Gambia kinacho endele
 
Lissu ndo Raisi wako wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025. Utake usitake.

Kama kuungwa mkono na wazungu ndo kigezo cha kutokuwa Raisi basi hata Nyerere asingekuwa Raisi maana aliungwa mkono na Marekani( Serikali ya Marekani) kwenye kupigania uhuru wa Tanganyika
Hata wasafi media ina rais so siwezi kubishana na wewe
 
Masisiemu bwana! Yakiambiwa yatende haki yanaona yametishwa.
Siku hizi ukitamka maneno kama "haki, uhuru au ufisadi", tafsiri yao yanaona yametukanwa

Mashetani kabisa
 
mbona kibaraka wa magu nae kaufyata tume inaongozwa kwa kufuata sheria na mihemko mbona kalifuta agizo la polepole la kumtaka Lisu afike mbele ya kamati tarehe 29 au hujasikia?
Ni bora zaidi kibaraka wa Magu kuliko huyo wa Amsterdam na oktoba atatutambua vizuri
 
Kwahiyo hao ndio watampigia kura na kumtangaza mshindi?

Lisu havuki 20% ya kura zote!

Huyo beberu wake anazidi kumharibia. Ile hoja ya kwamba ni kibaraka inazidi kupata nguvu.

Yani mtu kutoka nje anakuwaje msemaji wa mgombea kutoka nchi huru?
Hivi wewe ukiwa unawatesa watoto wako kwa kuwapiga kuwafungia nje kuwanyima chakula na haki zao zingine za msingi ikiwemo suala la afya. Tena unafanya hivyo wazi wazi kabisa bila aibu. Majirani wakija kusaidia kuwatetea watoto wako wale unawaambia niacheni na watoto wangu maana ni mali yangu na niko kwangu hata nikiwaua ni wakwangu??
 
Hivi wewe ukiwa unawatesa watoto wako kwa kuwapiga kuwafungia nje kuwanyima chakula na haki zao zingine za msingi ikiwemo suala la afya. Tena unafanya hivyo wazi wazi kabisa bila aibu. Majirani wakija kusaidia kuwatetea watoto wako wale unawaambia niacheni na watoto wangu maana ni mali yangu na niko kwangu hata nikiwaua ni wakwangu??
Basi subiri huyo mtu wenu na beberu wake wawe marais wenu ili wawatetee
 
Umesema vema ni kweli unapitia wakati mgumu, zaidi ya barua ya Amsterdam, pia unashinikizo kutoka kwa aliyekuteua, polepole na chama chako kwa ujumla.
Hajamjibu Polepole aliyesema Lissu asipokwenda tarehe 29 ccm watachimba nchi?
 
Ni bora zaidi kibaraka wa Magu kuliko huyo wa Amsterdam na oktoba atatutambua vizuri
wewe unaongea nyuma ya keyboard ndio maana unarahisisha mambo mwenzio kasema tumuombee yuko watched,rudi umsikilize vema
 
29 September 2020

KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU WA 2020 TANZANIA, TAFSIRI ZA SHERIA ZINAZOSIMAMIA SHERIA YA UCHAGUZI

HAKI ZA BINADAMU,WACHAMBUA MVUTANO WA TUNDU LISSU NA TUME YA UCHAGUZI TANZANIA, NANI YUPO SAHIHI ?


  • KAULI ZA MKURUGENZI ZIMEKAA KISIASA
  • KANUNI ADHABU KARIPIO FAINI
  • KULIKUWA HAKUNA HAJA YA MKURUGENZI KUTOA TAARIFA HADHARANI KUWA TUNDU LISSU ANAHITAJIKA MBELE YA KAMATI YA MAADILI, ANGETUMIA TARATIBU ZA MAWASILIANO KWA BARUA
 
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kupitia kwa mkurugenzi wake, Dkt Willson Mahera, leo Septemba 29, wamezungumza na wanahabari na ili kutoa taarifa mbalimbali zinazohusu uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mnamo Oktoba 28 mwaka huu.

Aidha, katika Mkutano huo Mkurugenzi wa Uchaguzi ameweka bayana kuwa Tume ya Uchaguzi imetoa kibali kwa asasi zipatazo 245 za kutoa elimu ya Mpiga kura kwa upande wa Tanzania Bara wakati Zanzibari asasi 7. Akifafanua kuhusu hili Mahera amesema asasi hizi zilipewa kibali kutokana na kukidhi vigezo na baadhi ya asasi hizo zimeshaanza kutoa elimu kwa mpiga kura.

Zaidi ya hayo, Charles Mahela anaweka bayana kuwa Tume imeruhusu kuwepo na Watazamaji wa ndani na nje katika uchaguzi Mkuu ambapo Watazamaji wa ndani na asasi za kiraia ni Taasisi 97 wakati watazamaji wa nje zimekwishafika asasi 18 na miongoni mwa hizo ni nchi mbalimbali kama vile Marekani, Japani, Uholanzi, Ujerumani, Ubelgiji, Denmak Sweden nchi hizo zimepata kibali cha kutazama.

Aidha, Mahela ameongeza kuwa ushirikishaji mwingine wa wadau katika Uchaguzi Mkuu utakuwa kupitia Mawakala wa Vyama vya Siasa ambapo siku ya Uchaguzi vyama vya siasa vitapewa fursa ya kuweka mawakala katika kituo cha kupigia kura, wakala katika kituo cha kuhesabia kura na wakala katika kituo cha Kutangazia matokeo. Hivyo, amesisitiza kuwa katika vyumba vya kupigia kura sio Tume tu inakuwepo bali kunakuwa na mawakala na wasimamizi.

Sambamba na hayo, Mkurugenzi wa Tume amesisitiza Wagombea kuzingatia maadili ya Uchaguzi na kuepuka kufanya vitendo ambavyo vitaharibu amani ya nchi. Aidha, mahela amewasisitiza Wananchi kutojisahau kuwa katika kipindi hiki cha uchaguzi sheria za nchi hazijasimama hivyowanapaswa wajiepushe na vitendo ambavyo vitakiuka sheia za nchi.

===
NEC: WENYE MAHITAJI MAALUMU WAMEANDALIWA MAZINGIRA RAFIKI KUSHIRIKI UCHAGUZI

Mkurugenzi Mkuu wa Uchaguzi Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC, Dkt Charles Mahera amesema watu wenye mahitaji maalum watapewa kipaumbele kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28
-
Watu wenye mahitaji maalumu kama walemavu na wajawazito, wanaonyenyesha, waliokwenda na wazee na wagonjwa watapiga kura mapema na kuondoka

Watu wasiojua kusoma na kuandika wanaruhusiwa kwenda na watu wanaowaamini. Wasiokuwa na uwezo wakuona watawekewa maandishi ya nukta nundu au wanaweza kwenda na wanaowaamini kuwasaidia

Aidha wenye ulemavu wowote ule pia atawezeshwa ili kuweza kufanikisha zoezi hilo. Maelezo hayo yote yameshatolewa kwa wasimamizi wa vituo vya kupiga kura
Hana jipya. Yote yanafahamika na ni nadharia tu kufurahisha mdomo. Sisi tunachotaka ni utekelezaji huru na wa haki. Utakuwepo? Tukimwangalia usoni Mahera, hatuoni hilo. Tunakusuburi Mahera ulikoroge ili tukukoroge vizuri. Hakuna cha msalie mtume mwaka huu. Umesikia Mahera. Kawaambie na ndugu zako mapema.
 
Wewe simamia haki tu, ukizingua kweli the hague inakuhusu. Halafu acha kupigia kampeni mgombea unaempenda.
Mnajua kujitekenya na Kucheka mpaka Wazungu wanatucheka. Kwan hatuwezi jiongoza na kujiamulia mambo yetu mpaka tuwalilie Wazungu?? Upinzani ufike mahali uwe unajiandaa sio uchaguzi ukifika ndio wanaanza lia kama Yatima. Wao miaka nenda rudi wanasema tume haitendi haki na hapo hapo unawafuata wakupe form ukagombee. Punguzeni usanii
 
Wewe simamia haki tu, ukizingua kweli the hague inakuhusu. Halafu acha kupigia kampeni mgombea unaempenda.
Huyu Fala hata hatuto mpeleka the Hague akale kuku wa kizungu huko! Akizingua tu basi huyu ni wa kumgawana hapa hapa!
 
Hahaha mnatoa elimu ya kupiga kura Zanzibar muda huohuo mnawakatalia vitambulisho vya mpiga kura!

Daftari la mpiga kura liondolewe! Tupige kura za maruwani.
 
Back
Top Bottom