Tanzania hatuna Tume ya uchaguzi bali tuna takataka inayoitwa Tume ya Uchaguzi.Kwa ujumla NEC haipo kabisa hata wakenya wametudharau sana. Kama kiongozi wa NEC anapigia kampeni chama fulani unategemea nini. Tuwe na tume huru tu
Hiyo badilika yake mbona hujaiweka wazi? 😅 ... for better or WORSE!?Nami natoa ramli yangu,Magufuli na CCM watashinda na baada ya uchaguzi Magufuli atabadilka sana.Zanzibar itakuja Jecha part two na pre emptying itakayofanyika hakuna atayeketoka nje kwa siku tatu!!!
Muungano wa mabwawa wa ubeligiji labdaAmini amini nakwambia jiandae kumuona Tundu Antiphas Lissu akiwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025
Endelea kujifariji tuMuungano wa mabwawa wa ubeligiji labda
Mimi sichangii, ila nakutaarifu wewe mwenye ID hii kuwa mwenye picha na maneno unayotumia amekwishafariki. Ni heshima na kawaida kutotumia tena utambulisho wa huyo Marehemu. Sijui hapa, lakini kwingine ni katazo la kisheria kabisaHawa NEC wanautendea haki msemo wa wahenga ''Nyani haoni kundule''
“We can easily forgive a child who is afraid of the dark; the real tragedy of life is when men are afraid of the light."Don't ask what your nation will do for you, ask yourself what will you do for your nation.......
Mnara wa Babel!Katibu mkuu wizara ya Elimu, Dkt Avemaria Semakafu amesema wizara imefuta mafunzo ya ualimu wa S/M ngazi ya cheti
Baada ya saa sita
Rais Propesa. Magu amewataka walimu kupuuza taarifa ya kipumbavu inayoeleza kuwa serikali imefuta mafunzo ya ualimu S/M ngazi ya cheti
Ukisikia utawala uliofitinika basi ni huu wa Jiwe
Ina maana magufuli hana coordination na watendaji wake ?Mnara wa Babel!
NEC ndiye wanataka hayo na huyo.Kuna mgombea anawafokea wapiga kura kwamba atawashughulikia wasipomchagulia awatakao, anatumia kilugha, anasimama njiani kuwasalimia watu, anatoa ahadi za uongo, anatukana watu, anatoa rushwa hapa NEC wanasaemaje.
Mgombea wao yupo garage wanalazimika kuwapa likizo wagombea wengine why kwann wasiwaache wachanje mbugaNEC ndiye wanataka hayo na huyo.
Bado mapema. Muda wa wananchi kuingia barabarani sio leo wala kesho. Ila kizazi kilichozaliwa miaka ya 2000 na kuendelea kikiwa na majukumu ndio watakaoamuaKwahiyo unashauri wananchi waingie barabarani kwakuwa CCM haiwezi kuachia madaraka kwa kushindwa uchaguzi?