Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza Matokeo ya Mtihani wa Darasa la 7 uliofanyika Septemba 2024 yanayoonesha Ufaulu wa Wasichana umeshuka kwa 0.53% kulinganisha na ufaulu wa 80.58% wa mwaka 2023 huku ufaulu wa Wavulana ukipanda kwa 81.85% kutoka 80.59% ya mwaka 2023.
Jumla ya Wanafunzi 974,229 kati ya 1,204,899 waliofanya Mtihani huo wamefaulu kwa 97.90% ambapo Wasichana ni 656,160 na Wavulana ni 548,739. Aidha, Watahiniwa 25,875 (2.10%) hawakufanya Mtihani wakiwemo Wavulana 15,438 na Wasichana 10,437.
Ubora wa Ufaulu unaonesha Watahiniwa 431,689 (35.83%) wamepata Daraja A na B ambapo Wasichana ni 216,568 (33.01%) na Wavulana ni 215,121 (39.21%). Shule 12,838 (67.81%) kati ya 18,932 zimepata Daraja C, Shule 17,483 (92.35%) zimepata Daraja A-C.