Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani yako ndio ungeitumia vizuri tunaenda na Takwimu huwezi kulinganisha ufaulu wa wanafunzi 59 dhidi ya shule yenye wanafunzi zaidi ya 300 ambapo kati yao 7 wamepeperusha kwenye kumi bora!!Tumia simu yako kwa manufaa
Kilimanjaro Usangi day[emoji56][emoji56]NECTA ACSEE RESULTS: SHULE ZILIZOONGOZA KWA KILA MKOA
1.MWANZA- SUMVE SECONDARY SCHOOL
2.TABORA-TABORA BOYS
3.SIMIYU-MKULA SECONDARY
4.KILIMANJARO-USANGI DAY
5.Morogoro-MZUMBE SECONDARY
6.KAGERA- KEMEBOS
7.ARUSHA -KISIMIRI
8.Manyara-Dareda secondary
9.Tanga-mkindi secondary
10.Pwani-Ahmes secondary school
11.DODOMA-MSALATO SECONDARY
Inaendelea...
Kiuhalisia hii ndio bora zaidi ya hio yenye ufaulu wa wanafunzi 57 over one 257 na top 7 kitaifa ikaingiza huwezi kulinganisha na Takwimu zao ni vile tu watu wanaangalia idadi ya waliofaulu ila sio wingi wa waliofaulu...
Sumve secondary Lenga mbaliNECTA ACSEE RESULTS: SHULE ZILIZOONGOZA KWA KILA MKOA
1.MWANZA- SUMVE SECONDARY SCHOOL
2.TABORA-TABORA BOYS
3.SIMIYU-MKULA SECONDARY
4.KILIMANJARO-USANGI DAY
5.Morogoro-MZUMBE SECONDARY
6.KAGERA- KEMEBOS
7.ARUSHA -KISIMIRI
8.Manyara-Dareda secondary
9.Tanga-mkindi secondary
10.Pwani-Ahmes secondary school
11.DODOMA-MSALATO SECONDARY
Inaendelea...