NECTA ACSEE RESULTS: Shule zilizoongoza kwa kila mkoa, wazazi mjue shule nzuri sasa

Sio ujuaji tunaenda na Takwimu huwezi kulinganisha ufaulu wa wanafunzi 59 dhidi ya shule yenye wanafunzi zaidi ya 300 ambapo kati yao 7 wamepeperusha kwenye kumi bora!!
 
Tumia simu yako kwa manufaa
Nadhani yako ndio ungeitumia vizuri tunaenda na Takwimu huwezi kulinganisha ufaulu wa wanafunzi 59 dhidi ya shule yenye wanafunzi zaidi ya 300 ambapo kati yao 7 wamepeperusha kwenye kumi bora!!
 
Kilimanjaro Usangi day[emoji56][emoji56]
 
Kwani hii itaendendelea imekuwa fasheni saivi au
 
Sumve secondary Lenga mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…