NECTA imetangaza Matokeo ya Kidato cha Pili na Darasa la 4, 2022 Yatazame hapa

NECTA imetangaza Matokeo ya Kidato cha Pili na Darasa la 4, 2022 Yatazame hapa

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1672821865981.png
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) leo Januari 4, 2023 limetangaza matokeo ya kidato cha pili na darasa la nne mwaka 2022.

Bonyeza Link hapa kuangalia Matokeo ya Darasa la 4 >>> https://matokeo.necta.go.tz/sfna2022/sfna.htm

Bonyeza Link hapa kuangalia Matokeo ya Kidato cha Pili >>> https://matokeo.necta.go.tz/ftna2022/ftna.htm

Bonyeza hapa

Soma Pia matokeo mengine kuanzia 2009

Form lini? Kuna toto limefilisi uchumi wa familia apa tuone km kuna mwanga
 
Hivi mbona hawatoi uchambuzi ki ushindani siku hizi.
Mwenye hizi docs aweke..
 
Hivi vilaza wanarudishwa darasa au wanapeta
Waombe radhi Mkuu

Hali ya maisha inachangia Sana matokeo mabaya ya Watoto.

Lishe Bora inamchango mkubwa kukuzanuelewa wa mtoto.

Watoto weng wanaudumavu wa ubongo ambao haiwez kufikiria kuchambua ku analyse mambo.

Weng hawana kumbukumbu Kwa sababu walikosa lishe inasaifdia si watoto tu, wapo watu wazima wenye udumavu
 
Samahani wale wote niliowaita vilaza
 
Hivi mbona hawatoi uchambuzi ki ushindani siku hizi.
Mwenye hizi docs aweke..
Hawatoi kuepuka shule kufanga udanganyifu,haswaa private ndo wezi WA mitihani wakubwa
Sasa hv hakuna ya kwanza Wala ya mwisho Ili kudhibiti uchakachuzi
 
Back
Top Bottom