A HUMBLE LEADER
Senior Member
- Sep 21, 2022
- 138
- 343
MKOANI TABORA
Wasimamizi wa mitihani ya NECTA ya Darasa la nne,kidato cha pili na cha nne walioitwa kwenye semina maalumu pale AMUCTA tarehe 15 na pale Themi Hill tarehe 17 wamelalamika kutolipwa posho za semina na nauli kwa kisingizio eti muongozo wa malipo haujatoka kutokea NECTA.
Wanasemina hao waliotoka vijiji Mbali mbali vya kanda maalumu kijiografia wamesikika wakilalamikia Hatua hiyo iliyowakera Sana kwani wengi wao wanatokea mazingira tata kijiografia na kiusafiri na kujikuta wakitumia nauli kubwa Sana kufika mjini TABORA wamelaani kukopwa Fedha hizo!
Kilichowakera zaidi ni kauli ya katibu tawala msaidizi kulopoka eti kukopwa ni sehemu ya siri ya semina hiyo eti wasiseme seme!
Wanasemina hao wametaka Tabia hiyo ikome na kama hawana uhakika wa kulipa semina hizo ni bora wasiwaite kwenye semina hadi taratibu za malipo zitakapokamilika!!
USHAURI
NECTA MUDA umefika Sasa wa kunitumia teknolojia kulipa wasimamizi, Fedha ziwekwe kwenye akaunti moja kwa moja ili kuepuka sarakasi hizi!
Kwamfano mnaweza agiza majina ya wasimamizi mapema hata mwezi MMOJA kabla mkaratibu malipo yao kabla ya semina kwa KUTUMIA taarifa za kitumishi kuliko kuwaaachia Halmashauri ambapo huzitumia kwa mambo BINAFSI kabla ya malipo!!
Wasimamizi hao wameilaumu Sana kamati ya mitihani ya mkoa kwa uzembe huo,Hadi wengine wachache walisusia kufika kwenye semina ya tarehe 17 na kuombwa kufika tarehe 22 ya mwezi HUU oktoba!
Nimeifikisha kama nilivyoipokea!katibu wa Baraza la mitihani makinika, wasimamizi Wana hasira kabla hata zoezi la usimamizi kuanza!HII itaharibu zoezi zima.