NECTA: Matoke ya form 4 na form 2 yanatoka lini ili shule zilizovurunda zife?

Kwani unataka waalimu wafanye mtihani wa mwanao?watoto mnawalea vibaya halafu utegemee wafaulu,kwa hyo shule nzima iwe na waalimu vilaza
Kumbe na wewe umeanza kumuelewa lengo lake?...kwamba huyu hawazi matokeo 🤔🤔
 
Ukiona mzazi anatamani kumpeleka mtoto wake shule ambayo inafaulisha darasa zima, ujue hana imani na mwanae ila shule yenye mipango
 
Kumbe na wewe umeanza kumuelewa lengo lake?...kwamba huyu hawazi matokeo 🤔🤔

Kazi ya mwalimu ni kufaulisha achemi visingizio walimu.

Iweje St. Framcis, ifaulishe wote point 7 halafu shule unayomiliki wakungute zero zaidi ya nusu ya dararsa.

Acha kuajiri walimu ambao ni cheap labour ambao ni vilaza. Ajiri walimu competent na uwalipe mishahara.

Kufaulisga ni investment. Usitipie mzaxi mzigo wako wa kufaulisha, mzazi haingii darasani na wala shuleni haji.

Huna laboratory utafaulishaje na kwa nini tusikuite mbabaishaji na tuhamishe watotot wetu.

Huna library kwa nini tusikuite shuke ya kibanaishaji.

Shule ysko ina mazingira machafu vyoo vichafu kwa nini tudikuite mabaishaji.

Walimu wako wakibanwa madwali na wanafunzi nadala ya kujibu concept unaishia kuwachapa eti haeana adabu kumbe swali limekugonga.

Shule ina chakuka hafifu kisicho na ladha watoto afya ni mgogoro kwa nini tudikuite shule ya kibabaishaji.

Shule yako walimu hujawalipa miezi miwili na wanagunzi wanajua hivuo kwa nini usiitwe mbabaishaji na kilaza.

Ubanaishaji huu unakomeshwa na matokro ili tukomboe watoto wetu kwa kuziacha shule hizo zijigie kwa kukosa wanagunzi.
 
Samahani kwa kukuuliza...

Je uliishawahi kuongoza taasisi yeyote au kupata cheo atacha ubalozi was nyumba kumi??
 
Mwaka Juzi 2021 matokeo yalitoka 15.01.2022.Subiri mkuu usiwe na hofu.
 
Screenshot_20230104-135017.jpg
 
Back
Top Bottom