Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
Tarehe 8/1/2024 shule zinafunguliwa, mpaka leo hii tarehe 05/01/2024 majibu bado mnakwama wapi? Hamjui kuwa kuna maandalizi?
Toeni matokeo mapema ili mzazi ajiandae kama mwanane anarudia anakwenda mbele.
Hata mwanafunzi mwenyewe kuna wakati anahitaji maandalizi pia.
Toeni matokeo mapema ili mzazi ajiandae kama mwanane anarudia anakwenda mbele.
Hata mwanafunzi mwenyewe kuna wakati anahitaji maandalizi pia.