Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
Hizo Taratibu zinasema Matokeo ya Darasa La Nne Yatangazwe Lini?Mkuu
Necta inafanya Kazi Kwa taratibu na miongozo tuvute subira.
Mambo yatakapo kaa Sawa kila kitu kitakuwq wazi mtaambiwa lini yanatoka.
Tuvute subira
Hawa jamaa inabidi wajitathminiHizo Taratibu zinasema Matokeo ya Darasa La Nne Yatangazwe Lini?
We fanya maandalizi mkuu.. mpeleke mtoto shule.Tarehe 8/1/2024 shule zinafunguliwa, mpaka leo hii tarehe 05/01/2024 majibu bado mnakwama wapi? Hamjui kuwa kuna maandalizi?
Toeni matokeo mapema ili mzazi ajiandae kama mwanane anarudia anakwenda mbele.
Hata mwanafunzi mwenyewe kuna wakati anahitaji maandalizi pia.
Wacha wayafanyie crafting kwanza...Kumbuka hao ni sawa tu na wapishi. Ukiwalazimisha kuleta haraka chakula mezani, basi lolote linaweza kutokea.
Mara nyingi matokeo ya form two yanatoka wakati shule zimeshafunguliwa, Kwa hiyo utulie yatatokaTarehe 8/1/2024 shule zinafunguliwa, mpaka leo hii tarehe 05/01/2024 majibu bado mnakwama wapi? Hamjui kuwa kuna maandalizi?
Toeni matokeo mapema ili mzazi ajiandae kama mwanane anarudia anakwenda mbele.
Hata mwanafunzi mwenyewe kuna wakati anahitaji maandalizi pia.
Tarehe 8/1/2024 shule zinafunguliwa, mpaka leo hii tarehe 05/01/2024 majibu bado mnakwama wapi? Hamjui kuwa kuna maandalizi?
Toeni matokeo mapema ili mzazi ajiandae kama mwanane anarudia anakwenda mbele.
Hata mwanafunzi mwenyewe kuna wakati anahitaji maandalizi pia.
Sio kweli. Sasa shule zinafunguliwa kesho kutwa tu hapo. Mwanafunzi ataenda kama wa la 4 au la 3 maana kuna kurudia mzeeWamechelewa kivipi? mbona uzoefu unaonesha wanatoaga kipindi teyari shule zimefunguliwa
Sio kweli kivipi ndugu?. Kwani Kwa uzoefu wako matokeo Huwa yanatokaga kabla ya ufunguzi wa shule mana kwa uzoefu wangu miaka mingi utoka baada ya ufunguzi wa shule. mwanafunzi anajiandaa na nini Sasa wakati yeye kazi yake ni kusoma TUSio kweli. Sasa shule zinafunguliwa kesho kutwa tu hapo. Mwanafunzi ataenda kama wa la 4 au la 3 maana kuna kurudia mzee
Lol, kumbe hayaSio kweli kivipi ndugu?. Kwani Kwa uzoefu wako matokeo Huwa yanatokaga kabla ya ufunguzi wa shule mana kwa uzoefu wangu miaka mingi utoka baada ya ufunguzi wa shule. mwanafunzi anajiandaa na nini Sasa wakati yeye kazi yake ni kusoma TU
SASA HIVI WATUMISHI WA UMMA KARIBU WOTE HAWATAKI KUWA CHINI YA WANANCHI.Yaonesha walikuwa busy na shughuli za krismasi na mwaka mpya