Necta mnachelewesha majibu ya darasa la 4 na form two. Tatizo nini?

Ninavyojua Mimi, mwanafunzi wa darasa la nne anayeingia la tano na wa kidato cha pili anayeingia kidato cha tatu anatakiwa aripoti shuleni siku ya kufunga shule bila kujali kama matokeo yametoka ama la.
 
Vuta subra ,ww muandae mtoto tar 8 aende shule ,Necta ni taasisi imara na yenye umakini wahali yajuu
 
Kuna shule zinatumia hiyo nafasi ya kuwahi matokeo kufukuza wanafunzi waliopata below av ya 50
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…