NECTA wanataka tulipie matokeo ya darasa la nne 2024 au why hawaweki mtandaoni?

NECTA wanataka tulipie matokeo ya darasa la nne 2024 au why hawaweki mtandaoni?

Yesu Anakuja

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
12,675
Reaction score
25,924
Kumbe matokeo yametoka, ila necta hawataki kuweka kwenye mtandao wao? shida nini? au kwa sababu shule za private zinawazidi? mtaburuza sana mkia.
 
Nani kakwambia matokeo ya darasa la nne yametoka? Hata form two bado!
 
Shukurani kwa taarifa🙏, bado tunasubiri taarifa rasmi ya baraza la mitihani la Taifa(NECTA).
 
Kiufupi matokeo ya darasa la nne na ya form two hayana umuhimu tena wa kuwekwa mapema.
Hii ni kutokana na wanafunzi wengi wakurudia kugoma kwenda shule na wazazi kuto kufanya maandalizi ya watoto wao waliofeli ambao wanapaswa kurudia darasa.

Hivyo basi muandae tu mtoto na mwaka wa masomo wa 2025/2026 matokea atayapata akiwa darasani baada ya shule kufunguliwa.
Asante kwa kusoma ujumbe wangu🙏🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom