wewe habari umezitoa wapi?
Hata mimi napenda sana vijana wasiwe mitaani ni hatari sana, ila cha muhimu ni wao waje na SCIENTIFIC REASONS kwanini hali hii imejitokeza, kutokujua chanzo cha tatizo ni tatizo kubwa sana kuliko hata hilo tatizo lenyewe, hicho unachokisema kuhusu kushusha marks nahisi kimefanyika ila ndio hivyo tena bado hali ilikuwa mbaya wakaona hawana jinsi ni bora tu kutangaza kwanini huko chini wanaweza fanya hivyo washindwe kwa form 4, ila wasiwasi wangu wakifanya haya ya kushusha unaweza jikuta unaletewa wanafunzi sio tu kutokujua kuandika essay ila wasio jua kusoma kabisa kama tatizo hilo wanavyolalamika baadhi ya walimu wa sekondari, si unajua shule ni mwendelezo unapo mpitisha hapa ujue anakwenda ngazi nyingineYou said it very well. Tuna hizo kesi za wanafunzi kufika chuo kikuu wakiwa hawajui hata kuandika essay. hilo ni tatizo na tumekuwa nalo hili kwa muda mrefu sana. Ila sasa ndiyo hivyo, inaonekana bado hakujagunduliwa mechanism ya kushughulikia hilo tatizo. Lakini kama pia tutaacha hawa wanafunzi 250000 waingie mitaani bila vyeti, itakuwa ni hatari zaidi, kama hatuwezi kuwarudisha wafanye tena mtihani basi hata tushushe passmarks. Kwa maana ya baadala ya div 4 kuanzia marks 40 ianzie 30 na ziro ianzie 20 au 10, ili angalau wale waliojaribu japo kujibu maswali kadhaa wapandishwe kidogo na kupata vyeti vya kuwapeleka hata kusomea ufundi.
walekebishe na mishahara ya waalimau,pamoja na mazingira ya kufundishia,lasivyo watakuwa wanacheza malida each year! Chezea mateacheri ww.pamoja pamoja hadi kieleweke!
Ngoja wakusulubu! Utaimisi JF wewe mh!upigwe BAN wewe kipofu.
Kutokana na ufahulu mbaya wa wanafunzi wa kidato cha 4 wa mwaka 2012, sasa mitihani hiyo kurudiwa upya na serkali itagharamia gharama zote na hii ni kwa ajili ya kuliepusha taifa aibu ambayo haijawahi tokea nchini kwa anguko la elimu.
Mods naomba msihamishe habari hii wala kunipiga ban, Mimi ni mjumbe tu na mjumbe siku zote hafi.
Mungu ibariki Tanzania.
Hakuna uzembe wa kufanya wanafunzi zaidi ya 86% yaani Div 4 na ziroWakuu hebu msiwe walalamishi ktk kila jambo, kwa mwenye macho ataona kuwa ni kweli NECTA wamefanya uzembe ktk usahihishaji wa mitihani hiyo, kumbukeni hata madai ya waislamu ktk somo la islamic knowledge, ambapo baada ya kurudiwa tukashuhudia wanafunzi waliopata F wakapa B na wengine A kabisa na C, tukubali tukatae NECTA ni wazembe sana mfano pia kuna kituo cha mtihan kina wahitimu 600 lakin hakuna hata C zinazozidi 15.
Hata mimi napenda sana vijana wasiwe mitaani ni hatari sana, ila cha muhimu ni wao waje na SCIENTIFIC REASONS kwanini hali hii imejitokeza, kutokujua chanzo cha tatizo ni tatizo kubwa sana kuliko hata hilo tatizo lenyewe, hicho unachokisema kuhusu kushusha marks nahisi kimefanyika ila ndio hivyo tena bado hali ilikuwa mbaya wakaona hawana jinsi ni bora tu kutangaza kwanini huko chini wanaweza fanya hivyo washindwe kwa form 4, ila wasiwasi wangu wakifanya haya ya kushusha unaweza jikuta unaletewa wanafunzi sio tu kutokujua kuandika essay ila wasio jua kusoma kabisa kama tatizo hilo wanavyolalamika baadhi ya walimu wa sekondari, si unajua shule ni mwendelezo unapo mpitisha hapa ujue anakwenda ngazi nyingine
kwani hao walimu si watu ni ngendere? Cha msingi si quantity bali quality mnapenda matokeo kuwa yanachakachuliwa la saba wamechakachuo wakafaulu wengi kundi kubwa hawajui kusoma wala kuandika faida gani iliyopatikana?kwa mtu mwenye ufikiri mkubwa anaweza refer back matokeo ya form 2 kwa hao waliorudia ingekuwa wamepitishwa tu kuendelea kidato cha nne nini kingetokea zaidi ya hiki?Mkuu hebu acha ujinga na harakati za kipumbavu yani we unasema hadi kielweke na wakati haya ni maisha ya watu, siku nyingine usirudie huu utumbo wako.
Naunga mkono hoja. Kama ningekuwa napewa nafasi ya kupendekeza, kwa hakika hata mimi ningependekeza iwe hivyo, maana kwa hali hii, 2015, vyuo vikuu na VETA na vyuo vya diploma havitakuwa na wanafunzi. Kwahiyo ni bora tu kurudia mitihani. Wanafunzi watangaziwe ili warudi kwenye vituo vyao kwenda kufanya mtihani mwingine. Kuacha wanafunzi 250000 wapoteleee mtaaani hii si sawa kabisa. Lakini haya yalitakiwa yafanyike kabla ya kutoa matokeo. lilikuwa ni suala tu la kutangaza kwamba matokeo ni mabovu kwa hiyo mtihani unarudiwa.
Hawawezi kurudia na mtoa mada katunga tu hana SourceSijui kama wakirudia watafanya vizuri bila kuwepo maadalizi mazuri na ya muda wa kutosha ya kuwaandaa/kuwafundisha.
Mtoa mada kasema sorce ni habari leo uk-4.Hawawezi kurudia na mtoa mada katunga tu hana Source
Kinachoweza kufanyika ni kuteua ile % inayotakiwa kwenda Vyuoni na Vyuo Vikuu na hapo hawatajali Madaraja huenda wakachukua hata Div III na wale wa Div IV wakaenda vyuo vya kawaida
Kurudiwa kufanya Mtihani kusikowezekanika
Kuna baadhi ya Watahiniwa hawakufanya kabisa Mitihani, wako walioandika mitusi wako waliokosa Ada wakafutiwa matokeo sasa wote hao utawapata wapi saa hizi kwani wapo waliokuwa wakilala Mabwenini nk
Hiyo habari si yakweli walichokieleza kwenye hilo gazeti ni kuwa wanafikiria kuwa saidia kulipia ada ya mitihani na bado hawajaamua, fuata link hii,Kutokana na ufahulu mbaya wa wanafunzi wa kidato cha 4 wa mwaka 2012, sasa mitihani hiyo kurudiwa upya na serkali itagharamia gharama zote na hii ni kwa ajili ya kuliepusha taifa aibu ambayo haijawahi tokea nchini kwa anguko la elimu.
Mods naomba msihamishe habari hii wala kunipiga ban, Mimi ni mjumbe tu na mjumbe siku zote hafi.
Mungu ibariki Tanzania.
Hawawezi kurudia na mtoa mada katunga tu hana Source
Kinachoweza kufanyika ni kuteua ile % inayotakiwa kwenda Vyuoni na Vyuo Vikuu na hapo hawatajali Madaraja huenda wakachukua hata Div III na wale wa Div IV wakaenda vyuo vya kawaida
Kurudiwa kufanya Mtihani kusikowezekanika
Kuna baadhi ya Watahiniwa hawakufanya kabisa Mitihani, wako walioandika mitusi wako waliokosa Ada wakafutiwa matokeo sasa wote hao utawapata wapi saa hizi kwani wapo waliokuwa wakilala Mabwenini nk
Hiyo habari si yakweli walichokieleza kwenye hilo gazeti ni kuwa wanafikiria kuwa saidia kulipia ada ya mitihani na bado hawajaamua, fuata link hii,
http://www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/9168-waliofeli-kusaidiwa