NECTA Wasalimu amri, mitihan ya kidato cha 4 sasa kurudiwa upya.


Mjumbe anaweza kufa ila kwa hakika mjumbe hauawi.
 
je sisi tulifeli miaka ya njyuma itakuwaje? Au zero ya mwaka huu ni exceptioanl sana yaani wamepata 0 za point 38
 

Hahaa!ha CHAI CHUNGU bana. Eti yuko mapumziko. lini tutakesha tena kwa zile simulizi zako?
 
Last edited by a moderator:
je sisi tulifeli miaka ya njyuma itakuwaje? Au zero ya mwaka huu ni exceptioanl sana yaani wamepata 0 za point 38
Ndugu naomba usiwe mbinafisi sana na kujiangalia wewe tu, hapo hatuzungumzii zero ila tunazungumzia wingi wa ziro, yaani 60.7% ya watahiniwa wote unadhani ni hali ya kawaida hiyo
 
Mtoa mada kasema sorce ni habari leo uk-4.


Hiyo habari si yakweli walichokieleza kwenye hilo gazeti ni kuwa wanafikiria kuwa saidia kulipia ada ya mitihani na bado hawajaamua, fuata link hii,
http://www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/9168-waliofeli-kusaidiwa

mbona zote ndoto!!!! dancani kawafafanulia vizuri maana huwezi kurudia Mitihani
kuna shule za Kata huku Mbabala na Bihawana wanafunzi walipanga kwa wenyeji na wameshaondoka
Leo Aranblue ungeangalia kipindi cha Startv asubuhi usingeilaumu Wizara ya Elimu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…