Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,786
- 1,715
Kufuatia habari zilizoandikwa kwenye magazeti zikinukuu tuhuma za makosa ya NECTA katika mitihani ya wanafunzi wa shule hiyo. Baraza la mitihani limetoa jibu rasmi:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania Daima kwa mara nyingine linajiingiza kwenye kuchapisha habari bila utafiti wa kutosha!!!
Wewe unamatatizo
Tanzania Daima kwa mara nyingine linajiingiza kwenye kuchapisha habari bila utafiti wa kutosha!!!
Who to believe! Baraza la mitihani au Mkurugenzi wa shule.
Kama haya ya kwenye press release yatakuwa ni kweli kama inavyoonyesha. Huu utakuwa ni uzembe wa hali ya juu na kama sivyo, basi wahariri wanafahamu vizuri nia na madhumuni ya kuandika habari zilizopinda kwa manufaa ya wanaowafahamu wawo.
Inashangaza mambo ya msingi kabisa ya uandishi yanawekwa pembeni au kuwa overlooked. Kwani kulikuwa na gharama gani ya kuhakiki kama maelezo yaliyokuwa yanatolewa na Mkurugenzi wa shule ni sahihi.
Tanzania Daima linaanza kuonyesha kama liko desperate kwa 'mission' mpaka wahariri wanasahau majukumu yao ya msingi kabisa. Katika wiki moja limekuja na madudu ambayo habari zake bado ni sensitive nchini.
Mkuu una uhuru wa kutowalaumu waandishi wa habari lakini kwenye hii habari lazima tu wabebe lawama kwa sababu mazingira ya habari yenyewe katika misingi ya uandishi wa habari walitakiwa kwanza kuihakiki.Mimi sipendi na wala sitawalaumu waandishi wa HABARI hata siku moja na nitakuwa wa mwisho pekee yangu kufanya hivyo. HUYU MKURUGENZI WA GREEN ACRES alidanganywa na CLOUDS RADIO kuhidhalilisha NECTA eti kwasababu NECTA WAMEWALALAMIKIWA WAO KWA KUMPROMOTE YULE DOGO MWAKA JANA ALIEANDIKA BONGO FLAVA KAMA SHUJAA. Sasa mwaka huu vijana wamemchukulia yule kijana kama role model wao then kuchora kwingi. Sasa waandishi wameripoti vile vielelezo alivyovitoa yule mkurugenzi ambayo pia ni journalism. Clouds ni radio ya MABWEGEEEEEEE
Tanzania Daima kwa mara nyingine linajiingiza kwenye kuchapisha habari bila utafiti wa kutosha!!!
Mkuu kwa mtu yeyote makini alishagundua kuna walakini kwa huyo mkurugenzi, maana kama kuna tatizo ameliona kwenye shule yake kwanini asikwenda NECTA kupata uhakika wa kile anachokisema, unaposhidwa kupeleka malalamiko yako sehemu husika ni ujinga, ninapata mashaka na huyo mkurugenzi wa hiyo shule au ndio mambo ya biashara hayokweli,km necta ni mkweli,basi waandishi ni makanjanja. Ilihitaji dk kama kumi tu na resources kidogo,kufanya research ya baadhi ya mambo.mfano kujua km mwanafunzi Y amewekewa matokeo au laa!,ni swala la pale news room kuconfirm kwenye mtandao. Pia mwandishi alipashwa kuwasikiliza na upande wa pili,yaani necta wao wana data gani! Kweli hapa wameingizwa cha kike!
Soma vizuri kuna Mtanzania na Tanzania daima,habari iliyokuwemo Tanzania daima hata humu ilikuwemo na ikajadiliwa sanambona ni wamesemea ni gazeti la mtanzania
Mkuu una uhuru wa kutowalaumu waandishi wa habari lakini kwenye hii habari lazima tu wabebe lawama kwa sababu mazingira ya habari yenyewe katika misingi ya uandishi wa habari walitakiwa kwanza kuihakiki.
Katika hili swala, kuna pande tatu katika tukio ( mkurugenzi, baraza la mitihani na waandishi). Makosa au uongo wa mkurugenzi hauwezi kuwaondoa katika kashfa ambayo inasababishwa na uzembe au makusudi kutuletea habari. Lazima nao pia wapate kipande chao cha lawama kama waleta habari.
Sijakuelewa mkuu hizo stori za vijiweni au siasa ni zipi kwenye hii thread wakati sisi tunajadili NECTA ilivyokosoa habari za haya magazeti tajwaAcheni siasa/porojo za vijiweni
kwenye mambo ya kitaalam
kama elimu, tuachieni
wataalam tujadili na
kurekebisha dosari
zilizosababisha kufeli kwa form
four 2013! Nashangaa
MALUMPENI wamekurupuka
from no where kila mtu na
hoja zake dhaifu za vijiweni
mmesomea wapi ualimu au
mnadhani walimu
wanachaguliwa kwa kufumba
macho na kunyosha mikono
juu!!