NECTA yatangaza Matokeo Kidacho cha Sita (ACSEE 2013)

NECTA yatangaza Matokeo Kidacho cha Sita (ACSEE 2013)

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,095
Matokeo ya kidato cha 6 yametangazwa.
Ufaulu umeongezeka mara dufu zaidi ya wanafunzi 90% wamefaulu.
Shule iliyo ongoza ni
1.Marian Girls
2. Mzumbe

Tunaomba chanzo cha taarifa hii plz kama umekurupuka tujue.
 
Matokeo ya kidato cha 6 yametangazwa.
Ufaulu umeongezeka mara dufu zaidi ya wanafunzi 90% wamefaulu.
Shule iliyo ongoza ni
1.Marian Girls
2. Mzumbe

weka link, maana moe, necta hakuna kitu!!
 
Kweli yametangazwa na Mwanafunz wa kwanza kwa masomo ya Sayansi katoka Ilboru na upande wa Kike katoka Marians
 
Kweli yametangazwa na Mwanafunz wa kwanza kwa masomo ya Sayansi katoka Ilboru na upande wa Kike katoka Marians

mbona http://www.necta.go.tz
http://www.moe.go.tz
hamna kitu labda ndo wanayapost ila sijui
 
Kwa upande wa Sayansi wa kike aliyeongoza anaitwa Lucy Light kutoka Marians kwa hyo vijana 2lizen presha wakati Mambo yakiwekwa sawa
 
Naye siye Mwingine anaitwa Erick Robert

Naona dogo kichwa sana kwenye biashara, vichwa kama hivi Taifa inavipoteza sana badala ya kuvipeleka huko ng'ambo vikachukue ujuzi
 
Back
Top Bottom