NECTA yatangaza Matokeo Kidacho cha Sita (ACSEE 2013)

NECTA yatangaza Matokeo Kidacho cha Sita (ACSEE 2013)

Yapo hewani,got mine mambo saaafi,yani 90% yote nisiwemo.
JINA LA NECTA LIHIMIDIWE.
ndio maana waliyachelewesha ili wayachakate na nimefaulu kweli.
 
kama umefeli usijutee kuna option kibao za kujiunga na vyuo kwa ajili ya cheti vyuo vingi ni mwezi wa sita mwishoni ndio mwisho wa kutuma maombi..
 
Yapo hewani,got mine mambo saaafi,yani 90% yote nisiwemo.
JINA LA NECTA LIHIMIDIWE.
ndio maana waliyachelewesha ili wayachakate na nimefaulu kweli.

shukuru bunge kuruhusu kustandardize ungelia tu humu ndani..
 
iyo 90% kwa haraka nimegundua NECTA wamepunguza Division zero (FLD) lakini division one ni chache mno!
 
Mkuu TIQO unaelezeaje ufaulu (ufeli?) wa somo la General Studies??? Inatisha balaaaa.......
 
Last edited by a moderator:
Hii trend ya Div 3 mmeiona? Haya matokeo yamebakwa ili kuondoa hatari ya kukataliwa na kufutwa. Haiwezekani hakuna wani na wanafunzi woote kurundikwa kwenye division 3.
 
nackia wa kwanza ametoka marianz xaxa sielewi amepata ya tatu au maana ya kwanza marianz ni ya sita
 
My CAMP Mzumbe is stil Makin me Proud..!!

Congratulations Dear Headmaster Mr Njawa,Staffs & Students...!!

Nyayooooo...!!
 
Mkuu TIQO unaelezeaje ufaulu (ufeli?) wa somo la General Studies??? Inatisha balaaaa.......

Siku hizi hili somo limekuwa likishuka miaka kwa miaka GS hadi vyuoni wanafunzi hawalipendi wanachukulia simple tu, inabidi waliweke liwe la penalty kama ilivyo ukifeli Math au Kiswahili O'level labda wanafunzi watatilia mkazo.
 
mbona penalty ipo maana dogo langu ana points 8 ila ana F ya GS mpaka nikashangaa...shule yao 3/4 wana F za GS!!!! There has to be something wrong and something as to be done more that penalizing it, kwa sababu in the first place the penalty is already there!
 
Back
Top Bottom