NECTA yatangaza Matokeo Kidacho cha Sita (ACSEE 2013)

NECTA yatangaza Matokeo Kidacho cha Sita (ACSEE 2013)

mbona penalty ipo maana dogo langu ana points 8 ila ana F ya GS mpaka nikashangaa...shule yao 3/4 wana F za GS!!!! There has to be something wrong and something as to be done more that penalizing it, kwa sababu in the first place the penalty is already there!

Duh kumbe ipo penalty mi nilikuwa sijui nikafikiri mtu akipata S ndo amefaulu
 
zimejazana 3 na 4........ sijui ni mchezo gani NECTA wanacheza.........
 
nisaidieni kuangalia matekeo ya ifunda tech secondary school na irikisogo sec school.

[h=3]s0108 ifunda technical secondary school
[/h][h=3]div-i = 0 div-ii = 12 div-iii = 224 div-iv = 66 fld = 50[/h]

 
Am I dreaming haya ndio matokeo ya shule yangu maalumu???

[h=3]S0110 ILBORU SECONDARY SCHOOL CENTRE
[/h][h=3]DIV-I = 0 DIV-II = 1 DIV-III = 35 DIV-IV = 34 FLD = 55[/h]
 
Matokeo mabovu cjapata kuona div 3 zipo nyingi halafu robo 3 zote za mbereko huyo aliyeongoza cjui kapata div ya point 6 hata cjaelewa kabixa.div 3 na 4 ni mapacha ambao wanafanana tabia kwenye matokeo haya.G/studiez hizo F kama vile wa2 hawajaxoma civicz olevo
 
[h=5]Wadau sijaelewa kwa nini Kibaha imekuwa ya 9 na Mzumbe ya 2 kwa matokeo haya on same category?

S0119 KIBAHA SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 23 DIV-II = 53 DIV-III = 105 DIV-IV = 1 FLD = 0

CENTRE POSITION IN ITS CATEGORY(NATIONWISE) 9/329.

check ya mzumbe

S0140 MZUMBE SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 20 DIV-II = 62 DIV-III = 40 DIV-IV = 2 FLD = 1

CENTRE POSITION IN ITS CATEGORY(NATIONWISE) 2/329[/h]
 
Matokeo ya kidato cha 6 yametangazwa.

Ufaulu umeongezeka mara dufu zaidi ya wanafunzi 90% wamefaulu.

Shule zilizoongoza ni

1. Marian Girls
2. Mzumbe

=========================

Updates
Link 1 (JF):

Matokeo ya Kidato cha SITA - JF Hosted

Link 2

Matokeo ya Kidato cha SITA - NECTA Hosted

Mshindwe wenyewe sitaki lawama

Nashindwa kuwaelewa hawa NECTA

Kwanini hizi results wasiziweke kwa Alphabet?
Kutafuta shule mpaka ufanye kazi ya ziada.
Ingekua rahisi kama natafuta Tabora boys ningekwenda kwenye "T" kuliko hii juu chini kushoto kulia.
 
Nashindwa kuwaelewa hawa NECTA

Kwanini hizi results wasiziweke kwa Alphabet?
Kutafuta shule mpaka ufanye kazi ya ziada.
Ingekua rahisi kama natafuta Tabora boys ningekwenda kwenye "T" kuliko hii juu chini kushoto kulia.

nawe nawe yani hyo device yako haina hata find in page kweeli aya ngoja emb fungua options au tools utaona find in page
 
aisee haya matokeao siyo.ni kwa ajili ya kufurahisha genge tu,si ya kweli angalia 3 na 4 zimejazana ,nahisi hizo 3 nyingi zilikuwa 4,na hizo 4 nyingi zilikuwa ziro,Hii ndio Tanzania
 
Back
Top Bottom