Matokeo ya kidato cha 6 yametangazwa.
Ufaulu umeongezeka mara dufu zaidi ya wanafunzi 90% wamefaulu.
Shule iliyo ongoza ni
1.Marian Girls
2. Mzumbe
Matokeo ya kidato cha 6 yametangazwa.
Ufaulu umeongezeka mara dufu zaidi ya wanafunzi 90% wamefaulu.
Shule iliyo ongoza ni
1.Marian Girls
2. Mzumbe
Kweli yametangazwa na Mwanafunz wa kwanza kwa masomo ya Sayansi katoka Ilboru na upande wa Kike katoka Marians
Tunaomba chanzo cha taarifa hii plz kama umekurupuka tujue.
Mmmmhhh!jaman mna uhakka?????
weka link, maana moe, necta hakuna kitu!!
Weka link mkuu
Bac mda c mrefu wanayaweka
Vijana kuweni wapole tulizeni Munkari.
Kwa masomo ya Biashara mwanafunzi bora katoka TUSIIME
Ni kweli yametoka...Tunaomba chanzo cha taarifa hii plz kama umekurupuka tujue.