Nini tena mkuu?
Namba ziko wapi?Nisaidieni kuangalia matekeo ya Ifunda Tech Secondary School na Irikisogo sec School.
Nisaidieni kuangalia matekeo ya Ifunda Tech Secondary School na Irikisogo sec School.
Yapo hewani,got mine mambo saaafi,yani 90% yote nisiwemo.
JINA LA NECTA LIHIMIDIWE.
ndio maana waliyachelewesha ili wayachakate na nimefaulu kweli.
Mkuu TIQO unaelezeaje ufaulu (ufeli?) wa somo la General Studies??? Inatisha balaaaa.......
Siku hizi hili somo limekuwa likishuka miaka kwa miaka GS hadi vyuoni wanafunzi hawalipendi wanachukulia simple tu, inabidi waliweke liwe la penalty kama ilivyo ukifeli Math au Kiswahili O'level labda wanafunzi watatilia mkazo.