Nathanael Boneka
Member
- May 22, 2013
- 7
- 0
mbona penalty ipo maana dogo langu ana points 8 ila ana F ya GS mpaka nikashangaa...shule yao 3/4 wana F za GS!!!! There has to be something wrong and something as to be done more that penalizing it, kwa sababu in the first place the penalty is already there!
Mungu wahurumie watoto wa Tanzania!!
nisaidieni kuangalia matekeo ya ifunda tech secondary school na irikisogo sec school.
JE km ya 4m4,ilitaka watu wajiuzuru! je ya 4m6 nani APANDISHWE CHEO?
Matokeo ya kidato cha 6 yametangazwa.
Ufaulu umeongezeka mara dufu zaidi ya wanafunzi 90% wamefaulu.
Shule zilizoongoza ni
1. Marian Girls
2. Mzumbe
=========================
Updates
Link 1 (JF):
Matokeo ya Kidato cha SITA - JF Hosted
Link 2
Matokeo ya Kidato cha SITA - NECTA Hosted
Mshindwe wenyewe sitaki lawama
Nashindwa kuwaelewa hawa NECTA
Kwanini hizi results wasiziweke kwa Alphabet?
Kutafuta shule mpaka ufanye kazi ya ziada.
Ingekua rahisi kama natafuta Tabora boys ningekwenda kwenye "T" kuliko hii juu chini kushoto kulia.
........ilboruKweli yametangazwa na Mwanafunz wa kwanza kwa masomo ya Sayansi katoka Ilboru na upande wa Kike katoka Marians