NECTA yatangaza matokeo ya darasa la nne, kidato cha pili na kidato cha nne 2021

Duh,ngoja nisubirie huo muda,inamuhusu mwanangu,sijui atakuwa kapenya...!
 
Baraza la Mitihani la Tanzania leo terehe 15/01/2022 linatarajia kutangaza matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne, Kidato cha Pili na Mtihani wa Kidato cha Nne 2021. Unaweza kutazama tukio hilo live kupitia youtube channel ya NECTA (Nectaonline) kuanzia Saa 4:00 asubuhi. Source FB PAGE YA NECTA
 
mbona tangazo hili halipo kwenye official website yao?
 
Watajua wenyew waliofanya paper

Mim naendelea kusubir salary yangu ya January 2022 kwa iman kubwa zaid ya kumngoja Yesu
 
mbona hawatangazi na saa 4 ndo hii
 
Kama una changamoto Yakuona Matokeo weka namba, Tukuangalizie.
 
St. Fransis wametoa wanafunzi bora 7 kitaifa. Kutoka serikali ni mmoja tu wa Ilboru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…