NECTA yatangaza matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili, 2017, 51,807 wakwama kuendelea kidato cha 3

NECTA yatangaza matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili, 2017, 51,807 wakwama kuendelea kidato cha 3

Huku mnara unasumbua nichekie matokeo y usangi day unitumie screenshot yoteee
 
Nimefungua hadi nimechoka . Labda Mama Ndalichako anayahakiki bado [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Wanaendelea kuleta maneno tata, baada ya rlimu bila malipo sasa wamekuja na nyingine kali zaidi....
Hahahaa!
 
Mwenye 500/= nitumie mpesa nikutumie kwenye PM yako faster
 
Back
Top Bottom