NECTA yatangaza Matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2018. Ufaulu waongezeka kwa asilimia 4.96 kutoka mwaka 2017

NECTA yatangaza Matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2018. Ufaulu waongezeka kwa asilimia 4.96 kutoka mwaka 2017

Shule 10 bora kitaifa std 7 katika matokeo

1.Raskazone(Tanga)
2.Nyamuge(Mwanza)
3.Twilohiki(Mara)
4.Kwema(Kahama-Shy)
5.Rocken Hill(Kahama-Shy)
6.Jkibira(Kagera)
7.St.Achileus(Kagera)
8.Kiwanuka(Kagera)
9.St.Severine(Kagera)
10.Rweikiza(Kagera)
 
Matokeo yametangazwa muda mrefu lakini hadi leo kujua mtoto amepangwa kwenda Shule gani kuanza Kidato cha kwanza ni mtihani!
Hivi Tamisemi mnashindwa vipi kurahisisha hili zoezi kwa kurusha hizo taarifa Kwenye Mitandao Watu wapate hizo taarifa kwa wepesi?
Link zilizotolewa hazifunguki!
Mashuleni taarifa hakuna!
Inachosha sana !
Siku zimeisha wazazi wanatakiwa kujipanga
 
Back
Top Bottom