NECTA yatangaza Matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2018. Ufaulu waongezeka kwa asilimia 4.96 kutoka mwaka 2017

Mkuu, si ungeyatupia matokeo yote humu ili tuwatazame madogo?
 
Huu
Kagera bado utabaki kuwa mkoa Wa vichwa hata tuongee vipi!! Wameingiza Shule NNE kwenye kumi bora
Huu ni ukweli ambao ni vigumu kuupinga kwani miaka mingi huwa haikosi kwenye nafasi nzuri na kila ngazi yaani , msingi na sekondari pia
 
Hivi waliopata wastani wa D,wanaenda nao Sekondari?
 
“Katika Shule ya Msingi Mwekako iliyopo Chato, wasahishaji walibaini karatasi zilizotumika kujibia maswali ni tofauti na zilizotolewa na NECTA, watahiniwa walivyohojiwa walisema majibu walipewa na mwalimu Mkuu” Dk. Charles Msonde - Mkurugenzi Mtendaji NECTA. #KwanzaHabari
 
Kanda ya siwa tunaiandaa iwe na wasomi uchwara
 
sasa mbona anamda mdogo sana kucreate empire au ndo yale maneno ya kutaka ufalme ayanataka timia
 
“Katika Shule ya Msingi Mwekako iliyopo Chato, wasahishaji walibaini karatasi zilizotumika kujibia maswali ni tofauti na zilizotolewa na NECTA, watahiniwa walivyohojiwa walisema majibu walipewa na mwalimu Mkuu” Dk. Charles Msonde - Mkurugenzi Mtendaji NECTA. #KwanzaHabari
Ujumbe wako umeuleta kichochezi sana!
 
Hahaha huu mchakato uliidhinishwa na stone baada ya bashite kufanya tathmini na kuona kuwa chattle inastahili kuongoza.

Zero brains.
 
Wameiga kutoka kwa babu yao aliyefoji Phd hewa.....huko chato wamezoea mambo ya cheating
 
🤣[emoji23]🤣[emoji23]🤣[emoji23]🤣[emoji23]🤣[emoji23]🤣[emoji23]🤣[emoji23]🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Jiwe atasema nini? Hao watu wa NECTA hawana kazi, naona NOAH tinted ishawatembelea
 
Back
Top Bottom