NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha 6 mwaka 2022

NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha 6 mwaka 2022

Madogo waje chuo kikuu..kula boom kisha kuteseka mitaani baada ya chuo

#MaendeleoHayanaChama
 
Usomaji umekuwa rahisi zaidi siku hizi siyo kama zamani.

Material, walimu wakutosha
Mkuu hayo uliyosema ni kweli kabisa, ila nakuhakikishia kuwa hizo factors kwa elimu ya Tanzania hazisaidii chochote au hazisaidii kwa kiwango kikubwa

Elimu yetu ya Tanzania tunaamini katika kufeli ndio ugumu na uzuri wa elimu, ingekuwa issue ni usomaji kubadirika basi ungeanzia mavyuoni maana huko ndio kuna easiest way ya kupata material na hao walimu wazuri

ila cha ajabu vyuoni ndio wanafunzi wanaongoza kufeli kuliko secondary, na vyuo kibao bongo hujisifia/husifiwa Kwa wingi wa Sup/discontinues, so point ni kwamba Elimu yetu ipo kivyetu vyetu
 
Rais Samia Suluhu amekuwa ni kioo kwa wasichana wengi ambao hapo awali walikua hawaamini katika kuongoza kwenye nyanja yoyote.

Baada ya Rais Samia kuwa Rais na kufanya mageuzi makubwa kwenye sekta mbalimbali, imewafanya wanawake nchini kuamini kwamba kila kitu kinawekezana endapo ukifanya kazi kwa bidii.

Wakati serikali ikihamasisha wanafunzi kusoma masomo ya sayansi, katika mchepuo huo wasichana wameibuka kidedea kwa kuchukua nafasi 7 kati ya 10 bora kitaifa.

Wanawake wakiwezeshwa wanaweza, Kazi iendelee
 
Wabongo kwa kupapatikia maraisi bhn
 
Siku hizi hata mm nashangaa nyuma PCB na PCM in ilikuwa mtu kupata Daraja la I & II ni genius lkn siku hizi wanaoga division I & II kama maji
Mambo yamebadirika,siku hizi Kuna vitabu maalum ambavyo NECTA huvitumia kutunga mitihani.Hivyo mwanafinzi akinyoka na vitabu anatoboa.
Tofauti na miaka 2000 kurudi nyima ambapo tulitumia vitabu vya njeya nchi.
 
Back
Top Bottom