Kwani ulisoma kombi ganiNiliendaga kupoteza miaka yangu miwili isiyo na maana
Itakua HAKULAKwani ulisoma kombi gani
HAMIA KENYA MKUUKwa Magufuri mbona ufaulu ulishuka then now days kwa Samia umepanda?
Hakuna tatizo,kufeli siyo sifa ya elimu boraIpo siku watafaulu wote 100%
Kama walimu waziri,shule ina nyenzo zote,kwa nini wasifaulu wote!?Form six kila mwanafunzi anafaulu
Wafeli Ili iweje?..inasaidia nini watoto kufeli baada ya kukaa muda mrefu shuleni wakielimishwa!?Hakuna mwaka CCM walisema wanafunzi wamefeli Kuanzia darasa la Saba,darasa la nne,kidato cha pili, kidato cha nne
Baada ya kupata DIVISHENI FOO?Niliendaga kupoteza miaka yangu miwili isiyo na maana