NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha 6 mwaka 2025

Elimu imekuwa rahisi kiasi hiki kwamba kizazi cha sasa kina vijana wenye akili sana?, mbona hatuoni mabadiliko yoyote kwa mchango wao.
 
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kupitia Katibu Mtendaji wake, Dkt. Said Mohammed, limetangaza matokeo ya mtihani wa Kidato cha Sita leo, Julai 07, 2025, visiwani Zanzibar,
Hivi Wizara ya Elimu ni ya Muungano
 
Siasa inaharibu elimu Sasa inamaana kipind tunasoma sisi tulikua mazozola wote ama Nini? Hawa vijana wa tick tock ndo wanaakili kias ichi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…