NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2017. Ufaulu waongezeka kwa 7.22%

Msaada:Ikiwa mtu kapata Division III ya 23 alikuwa anasoma Science ( Mvulana) amebalansisha CBG ie Chemistry, Biology and Geography. Je anaweza kuchaguliwa Kwenda shule ya Serikali?
 
We ni pimbi kabisa, how come una-quote link refu Hivi?

Bila shaka Leo unaadhimisha siku yako uliyopata sifuri kwny matokeo yako!
Haijalish wajuaje kama nyie mmejaa
sana huku
 
Msaada:Ikiwa mtu kapata Division III ya 23 alikuwa anasoma Science ( Mvulana) amebalansisha CBG ie Chemistry, Biology and Geography. Je anaweza kuchaguliwa Kwenda shule ya Serikali?
Kwa ubovu wa matokeo haya anachaguliwa bila wasiwasi, Kumbuka 70% wamefeli, kupata div.3 ni km kupata div.1 mwaka huu, shule zitabaki tupu
 
HONGERA WOTE WALIOFAULU. WALIOFELI WASIJALI, HATA BAKHRESA HAJASOMA KIHVYO, SO WATAKUWA MATAJIRI
 
Msaada:Ikiwa mtu kapata Division III ya 23 alikuwa anasoma Science ( Mvulana) amebalansisha CBG ie Chemistry, Biology and Geography. Je anaweza kuchaguliwa Kwenda shule ya Serikali?
Sheria ni kuwa lazima kwenye combination awe na maximum ya point 9 yaani C tatu.(A ni moja ,B ni 2 na C ni Tatu) waraka huo umetoka mwaka jana.So angalia kama ana point si zaidi ya tisa anaruhusiwa kufanya mtihani wa form six.Kama hajafikisha anaruhusiwa kuendelea ila anarudi mtihani wa form four mpaka apate hizo point za kufanya mtihani.
 
S2141/0025

F

22

III

CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'C' PHY - 'D' CHEM - 'D' BIO - 'C' B/MATH - 'D'

S3237/0031

F

26

IV

CIV - 'D' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' PHY - 'F' CHEM - 'D' BIO - 'C' B/MATH - 'F'
Mkuu naomba msaada Northern Highland-Moshi
Matokeo yote
 
Sheria ni kuwa lazima kwenye combination awe na maximum ya point 9 yaani C tatu.(A ni moja ,B ni 2 na C ni Tatu) waraka huo umetoka mwaka jana.So angalia kama ana point si zaidi ya tisa anaruhusiwa kufanya mtihani wa form six.Kama hajafikisha anaruhusiwa kuendelea ila anarudi mtihani wa form four mpaka apate hizo point za kufanya mtihani.
Mkuu nadhukuru.....Ila kwenye maelezo yangu nimeandika amebalansisha CBG nikiwa na maana amepata CCC. Div Ni III ya 23.
 
Back
Top Bottom