NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne na cha pili 2020

Huyu anahatarisha kibarua chake. Jiwe lazima am-mind.
 
Dogo kapata dv III ya 23, atachaguliwa au ndo tujiandae na shule za private..
CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'B' FREN - 'F' BIO - 'D' B/MATH - 'D'
HKL atapata shule ya serikali
 
inasikitisha katika wavulana kumi MUISLAMU YUPO MMOJA TU.
katika wanawake 10 muislamu uyupo mmoja tu.

Katika shule bora kitaifa hakun a shule hata moja ya kiislamu., islamic semiary, serikali iingilie kati hili suala.
 
inasikitisha katika wavulana kumi MUISLAMU YUPO MMOJA TU.
katika wanawake 10 muislamu uyupo mmoja tu.

Katika shule bora kitaifa hakun a shule hata moja ya kiislamu., islamic semiary, serikali iingilie kati hili suala.
Nanda Kenya shule mbovu Kim kitaifa unakata tamaa kabisa
 
Uwez amini huyo wakwanza mtoto wa mjomba yangu kabisa.
 
Utakuwaje TO huku kuandika neno NAWEZA hujui?.
Neno Kua maana yake ni kuongezeka, to grow, while kuwa ni kuwepo au to be.
Hebu tujifunze kuzungumza na kuandika kwa usahihi.
Hizi smartphones ni kama zoa zoa! Zinazoa kila aina ya guluguja.

The Illiterates, incompetent and every tom and jerry!

Tutashuhudia mengi!
 
Kama una mtoto wako kasoma SIMANJIRO SECONDARY SCHOOL na akapata div 3. Mfanyie sherehe.
Duh..Simanjiro Secondary School mmetisha!!
 
Mwenye like file linaonyesha shule zilizofanya vizuri na zisizofanya vizuri naomba share nasi tafadhal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…