Jerry94
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 334
- 545
Link form two please
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Link form two please
Unaweza kuta kapa-form mbaya kabisa....
uje utupe mrejesho...
Duuh!
Oya mimi ninamiliki mkunyenye.Thenk you madamu
Mkuu samahani
Hivi ili Mtu achaguliwe special school huwa wanatumia vigezo gani?
Cut off point ni Ngapi?
Naona walimu wengi Christimass walikuwa kwenye usahihishajiAsante! Form 4 si wamemaliza juzi tu, wamesahihisha na kupanga kila kitu au ni kulipua!
Achana na hizo za girls au za boys za private, kuna za boys ziko zinafanya matusi ya hataree.hata sijui ila naona shule za girls nyingi zimaibuka zinafanya vizuri ona hata hii inaitwa Bright future division one 90 DIVISION Two sita tu
Ni ngeni kwangu nimeshangaa
Secondary?Si nasikia wanasahihisha kwa computer siku hizi...?..!!
Hakuna kitu kama hicho kwa sekondari. This time waliongeza idadi ya wasahihishaji ili kazi ipigwe fasta.Inawezekana... sijui. najaribu kufikiria computer nasahihishaje essays; maths workout etc......
St. Francis bado huwa inaniacha na maswali mengi sana. wanafunzi 90 wote wametoka na division 1 tena single digit.Shule ya sekondari ya Ilboru wamefanya jambo moja safi kabisa...kushika nafasi ya pili Div one 118 div II moja (1) hakika vijana mlipambana
Naam, ni muda wakuvuna walichopanda.. kipindi hiki ndio wazazi huwaita majina ya wanyama watoto ikiwa hawajajaaliwa kufanya vizuri.. ina nirudisha nyuma 2014, ingawa nilifaulu vizuri ila sikuwa na furaha maana jamaa zangu wengi mambo hayakuwa mazuri upande wao, asikwambie mtu mafikio yana raha ikiwa mtafanikiwa wengiNECTA wameandika matokeo ya Kidato cha nne na Upimaji wa kidato cha cha Pili na Darasa la Nne 2021, yatatangazwa hivi punde kaa tayari ndio mida hii....
Wanapambana sana ila lazima wanachujwa uko...sasa madogo wa ilboru hakuna mchujo...tuwape credit zao vijanaSt. Francis bado huwa inaniacha na maswali mengi sana. wanafunzi 90 wote wametoka na division 1 tena single digit.
Hivi na hao wanaorudia mitihani huwa wanasoma kweli? Maana matokeo yao yanakatisha sana tamaa.
[emoji3]Hizi shule za kata walizosoma vijana wa CCM zinatia kinyaa
Yah! wanafunzi wanapambana sana. Advance nilipita hapoWanapambana sana ila lazima wanachujwa uko...sasa madogo wa ilboru hakuna mchujo...tuwape credit zao vijana
Kwa huyu aliyemaliza f4 2020St francis
Wanapambana sana ila lazima wanachujwa uko...sasa madogo wa ilboru hakuna mchujo...tuwape credit zao vijana