cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Yaan unabaki kushangaaa tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23]Mwenye point 9 ndio wa mwisho [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan unabaki kushangaaa tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23]Mwenye point 9 ndio wa mwisho [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23]
Unamtoa St Francis unampeleka canossa? Ts serious?Mkuu
Naleta wangu hapo ndo kumaliza st Francis Mbeya
Unamtoa St Francis unampeleka canossa? Ts serious?
Ada si wanasema ni milioni nne au sio kweli?Advanced level mkuu
St Francis hawana A level
Darasa la nne matokeo haya »»» https://matokeo.necta.go.tz/sfna2020/sfna.htmNipeni link ya darasa la nne niwaangalie wanangu.....
Ada si wanasema ni milioni nne au sio kweli?
Hivi mtu anapata A zote hizo dah.. kweli tunatofautiana... Ngoja nirudi form four Marian girls nnaeza kua TONI YA KWANZA KITAIFA ANGALIA MWISHONI HAPO YA KWANZA KIMKOA NA KITAIFA
Aaaaah ouk sawaah, but kwa A level mpeleke St Mary's mazinde Tanga, au Marian girls, uwezo ukizidi kidogo mpeleke Feza girls.Advanced level mkuu
St Francis hawana A level
Utakuwaje TO huku kuandika neno NAWEZA hujui?.Hivi mtu anapata A zote hizo dah.. kweli tunatofautiana... Ngoja nirudi form four Marian girls nnaeza kua TO
Shule bora kabisa Tanzania achana na utopoloKibaha sec.school mmenikosha. Hamjaniangusha
SpeshooooooooooooooooooooohKibaha sec.school mmenikosha. Hamjaniangusha
Hizi shule za kata walizosoma vijana wa CCM zinatia kinyaaShule bora kabisa Tanzania achana na utopolo
Kumbe umesoma?Jamani matokeo mbona yametoka haraka sana, mmmmh
Wahusika saivi matumbo chwaaaaaaaaah lol.
Nimeangalia shule zangu zote nilizopita matokeo yako on [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91].
Sahivi wamekaa mda gani?Kweli tunaona jitihada za Awamu ya 5 mpaka matokeo ya iv yanaharaka namna hii.. Miaka yetu unasugua kitaa miezi minne ndo tokeo linatoka.. Mwakani naamini itakuwa wiki 1 baada ya pepa tokeo linatoka
Nacho ni kidato?kidato cha pili vipi mkuu