sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Uwez amini huyo wakwanza mtoto wa mjomba yangu kabisa.
Hongera kwao na kwa walimu waoAisee... Ni vizuri wamesoma na kuelewa kama sio kuzingatia mafundisho
Ayah bhanaView attachment 1678494
View attachment 1678495
View attachment 1678496
View attachment 1678497
View attachment 1678498
Mh hakika matokeo ya hii shule yanapendeza.
yani unavyotazama na kuendelea kushuka kutazama listi ya divisheni yani unakuta divisheni 1 zote zimelala sambamba.
Ila kubwa na la kushangaza ni kwamba hakuna divishen 1 ya tarakimu mbili kama 10, 11, 13
Yani divisheni 1 zote ni za tarakimu 1 tu (single digit) , yani ni 7, 8 na 9 tu mchezo umeisha
IT aliye design website. Au nakosea?IT anayehusika na kupanga matokeo ya form two aache UPUMBAVU inachukua muda gani kuyapanga matokeo kialphabet ili iwe rahisi kuipata shule!!!,yaani unatumia zaidi ya masaa mawili kuitafuta shule mbona ya kidato cha nne ni rahisi kupata shule yamepangwa vizuri.Ajirekebishe matokeo yajayo yaani ni kero.
Umesikia vibaya.Si nasikia wanasahihisha kwa computer siku hizi...?..!!
Yaani anayehusika na kupanga majina ya shule yaani yamechanganywa balaa hayako kialphabet inachukua muda mrefu kuitafuta shule tofauti na matokeo ya form 4 shule zimepangwa kialphabet na inakuwa rahisi kuipata shule unayoitafuta AJIREKEBISHE HUYO MTU YAANI NI KEROIT aliye design website. Au nakosea?
Kwenye Browser yako tafuta walipoondika Find.. ingiza jina la shule itakupeleka fasta tu.Yaani anayehusika na kupanga majina ya shule yaani yamechanganywa balaa hayako kialphabet inachukua muda mrefu kuitafuta shule tofauti na matokeo ya form 4 shule zimepangwa kialphabet na inakuwa rahisi kuipata shule unayoitafuta AJIREKEBISHE HUYO MTU YAANI NI KERO
Baadae utasikia wanalalamika kwenye teuziinasikitisha katika wavulana kumi MUISLAMU YUPO MMOJA TU.
katika wanawake 10 muislamu uyupo mmoja tu.
Katika shule bora kitaifa hakun a shule hata moja ya kiislamu., islamic semiary, serikali iingilie kati hili suala.
Nafikiri kuyapanga kama unavyotaka ilibidi kuongeza posho, ya f4 yamekuwa vile ni kwa vile kila mkoa ulikuwa na kituo cha kusahishaYaani anayehusika na kupanga majina ya shule yaani yamechanganywa balaa hayako kialphabet inachukua muda mrefu kuitafuta shule tofauti na matokeo ya form 4 shule zimepangwa kialphabet na inakuwa rahisi kuipata shule unayoitafuta AJIREKEBISHE HUYO MTU YAANI NI KERO
Kila mwaka huwa ni hivyoIT anayehusika na kupanga matokeo ya form two aache UPUMBAVU inachukua muda gani kuyapanga matokeo kialphabet ili iwe rahisi kuipata shule!!!,yaani unatumia zaidi ya masaa mawili kuitafuta shule mbona ya kidato cha nne ni rahisi kupata shule yamepangwa vizuri.Ajirekebishe matokeo yajayo yaani ni kero.
Tatizo ni website designer. Angalau kungekuwa na button ya ku-search shule uitakayo kwa lengo la kuipata kiurahisi.Yaani anayehusika na kupanga majina ya shule yaani yamechanganywa balaa hayako kialphabet inachukua muda mrefu kuitafuta shule tofauti na matokeo ya form 4 shule zimepangwa kialphabet na inakuwa rahisi kuipata shule unayoitafuta AJIREKEBISHE HUYO MTU YAANI NI KERO
Si kweli.Nafikiri kuyapanga kama unavyotaka ilibidi kuongeza posho, ya f4 yamekuwa vile ni kwa vile kila mkoa ulikuwa na kituo cha kusahisha
Hujui chochote kuhusu Elimu Form four one ya 3?Kama una mtoto wako kasoma SIMANJIRO SECONDARY SCHOOL na akapata div 3. Mfanyie sherehe.
Duh..Simanjiro Secondary School mmetisha!!