NECTA yatangaza upya Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

NECTA yatangaza upya Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

s3561 salma kikwete secondary school

div-i = 2 div-ii = 6 div-iii = 24 div-iv = 132 fld = 107

Kama ndio ufaulu umeongezeka hapo, basi ilikuwa balaa
 
Nimeona mabadiliko makubwa tu watu wanashangilia sana tu. Sijui huko A level na chuo itakuwaje
 
logic ndogo tu...wa division 4 peleka div 3....wadivision 3 peleka 2...wa 2 peleka 1....wa 1 peleka zero ooopssssssssssss
 
Nashauri Moderator wa hii page awe makini sio unapost hadi Fb kama nawewe huna uhakika hili swali tunalifatilia kwa ujirani mkubwa sasa unapoongozwa na hawa wanaopost tetesi sio busara epukeni usumbufu usio walazma
 
Matokeo ya kidato cha
nne (CSEE) 2012 - Link
1
Matokeo ya kidato cha
nne (CSEE) 2012 - Link
2
Matokeo ya kidato cha
nne (CSEE) 2012 - Link
3
Matokeo ya kidato cha
nne (CSEE) 2012 - Link
4
 
Naona hii sio kweli kwani hakuna official statetement wala analysisi, acheni hivi tuna watoto....wanasubili
 
hama kweli mazombi yamepata makaratasi ya kuchora
 
Naona hii sio kweli kwani hakuna official statetement wala analysisi, acheni hivi tuna watoto....wanasubili

hata kwenye accout ya jf facebook wameandika hii habari.
 
matokeo ya kidato cha nne yametoka mchana wa leo tembelea www.necta.go.tz
 
Jamani ishu sasa sio tetesi tena coz habari nzima ipo gazeti la Mwananchi, tembeleeni ukurasa wa pili utaiona hiyo habari....its absolutely true guys...!
 
mbona cjaona utofauti kuna wengine walichopata mwanzon ndo hcho hcho
 
loooh mbona majanga tuu hamna jipya serikali ijipange
 
Naona hii sio kweli kwani hakuna official statetement wala analysisi, acheni hivi tuna watoto....wanasubili
we angalia yametoka kweli linganisha ya awali na ya sasa
 
Back
Top Bottom