NECTA yatangaza upya Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

NECTA yatangaza upya Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

mbona matokeo ya necta hayana tofauti na haya ya wanasiasa au marekebisho yalikuwa kwa watu "maalum"
 
Amakweli lakuvunda halina ubani!Yaani na kupigwa factor ya juu bado watoto wamepiga ZERO kama hawana akili nzuri duh! Kizazi cha Mulugo majanga.
 
hizo ni link au mapicha picha??? sioni link hapo
 
nenda necta sio link in such bt nimeziweka ka ushahidi!
 
Hayo si ya toka March? Au bado nimefeli tena? Mweeeeee niambie vzr
 
naona hayana mabadiliko makubwa sana maana ma boy alikuwa na point 19 sasa ana 18.
 
Aaah kumbe unauliza tena?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mnavyoshangilia sasa khaaa!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom