NECTA yatangaza upya Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

NECTA yatangaza upya Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

Aiseee mbona matokeo kama yale yale wakuu au mi ndo kusema uzee umeanza mapema? Maana madogo wote ninaowapata hawajapanda zaid ya vipont vichache sana. Lol
 
duh yaani inachekesha ndugu yangu katoka kwenye 32 mpaka 25 ye mwenyewe namwambia matokeo yake mpaka anayaktaa chezea ccm wewe wameona watapoteza kura 2015 wakaamua wapeleke vichwa maji yaani dogo alikuwa wa kawaida ila katisha hii ndo necta na wamefanikiwa kumnusuru kawambwa acingooke madarakani sasa na walojiua cjui itakuwaje?
 
Mie dogo mwanzo alikua na 32 lkn kwa sasa ana 29. Kautofaut kapo kdgo.
 
hapa serikali ilikuwa inapunguza kelele kwa kiindi kile ili wanafunzi wazoee iyo hali maana ukichunguza ni shule za private ndio zilizo fanyiwa mabadiliko kama za serikali ujue ni zile kubwa kubwa maana shule niliyo somea mimi akuna hata mmoja aliyebadilishiwa kuanzia 1 mpaka 0
 
mmmh haya matokeo tena balaa lengo ilikuwa kufaulisha matoto yao yalopata zero na div.4 bcoz waliopata div 2 na 1 na 3 hawajanufaika na mchakachuo huu wa matoke
 
Tunashukuru, lakini sasa wengi tumeathirika kisaikolojia na wengi wutu hata kupata vichaa kabisa
 
Necta mnakera nyie, nilishamchukia mtt wangu sana kwa kutopata high max. baada ya kujinyima na kumpelekea mission sec xul. wakampa dv 4. sasa matokeo mpaya wamempa 2. unaweza kuona ni jinsi gani walivokuwa wamenikera kisaikologia? just stupid mistake. na wadogo zake hawatosema Tanzania tena sababu ya hili nawapeleka nchi ya kibaki.
 
Suluhisho sio kustandadize bali ni kuboresha teaching and learning environment. Walimu hawana moyo wa kufundisha kutokana na salary kiduchu. Sasa watakuwa wanaongeza marks kila mwaka? Serikali iboreshe maisha ya walimu ndo wawabane wafundishe sana.
 
Back
Top Bottom