Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Hiyo shule inamilikiwa na wahalifu wa nchini Uturuki.kwahiyo mtoto wa nyoka ni nyoka tu.Wakuu Sina la kusema Sana nitaatach maswal ya MALISA ambayo amewauliza NECTA
Kama haitofunguka
Anauliza shule ya SEKONDARI ANWARITE ina watoto 76 wote wamepata daraja la 1 na imekuwa ya 11 kitaifa
Lakn sule ya SEKONDARI FEZA WAVULANA ina watoto 62 lakn 59 wamepata daraja la 1 na 2 daraja la 2 na 1 daraja la 3 imekuwa ya 7 kitaifa
Sasa upangaji huu umetumia vigezo gani
Attachment ipo chiniView attachment 2092625
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Unauhakika na jibu lako? Maana naona kwa hasira unawaita wenzio wajinga, wakati alitaka kufamu.Maswali nengine ya kijinga mfano A inaanzia 81
Mtoto was Feza kapata A ya 95 wa Marian kapata A ya 92
Wa Anwarite kapata A ya 90
Ukiambiwa wa kwanza in yupi wa pili ni yupi na wa tatu in yupi hujui?
A's hizo hazifanani kwa marks !!!/jibu rahisi tu hata wote wawe division one
swali la kijinga hilo alilouliza wala halihitaji jibu la NECTA angeuliza hata. Mwalimu wa chekechea angemjibu
Ndio nina uhakika A hazifanani kwa marks tatizo swali dogo mtu anataka NECTA wajibuUnauhakika na jibu lako? Maana naona kwa hasira unawaita wenzio wajinga, wakati alitaka kufamu.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787] Na usikute wa 2 ana average kubwa kuliko 1 hapo. Malisa kauliza swali la ovyoo sana sijui labda kuna kitu alilenga ila ni swali la.kitoto kushindwa kujua One ya 15 na One ya 8 kuna utofauti wa Kiwastani hivyo Feza one zao kali so wastani utakua juu kuliko hiyo shuleOne ya 17 na two ya 18 zima tofauti ndogo sana
Okay. Nilijua thamani ya A inaangaliwa katika kupata wanafunzi 10 bora. Kwahiyo pamoja na kuwa na div 2. na 3 bado kwenye average Feza akabaki juu.Ndio nina uhakika A hazifanani kwa marks tatizo swali dogo mtu anataka NECTA wajibu