NECTA yatoa ufafanuzi kuhusu mjadala wa ufaulu kati ya shule ya Wasichana ya Anwarite na ya Wavulana ya Feza

NECTA yatoa ufafanuzi kuhusu mjadala wa ufaulu kati ya shule ya Wasichana ya Anwarite na ya Wavulana ya Feza

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787] Na usikute wa 2 ana average kubwa kuliko 1 hapo. Malisa kauliza swali la ovyoo sana sijui labda kuna kitu alilenga ila ni swali la.kitoto kushindwa kujua One ya 15 na One ya 8 kuna utofauti wa Kiwastani hivyo Feza one zao kali so wastani utakua juu kuliko hiyo shule
Wakati mwingine unamuuliza mtu swali jepesi litakalomtamanisha kujitokeza kulijibu,atengeneze precedence. Huku una maswali yako korofi umeyaficha.
 
Ushawahi sikia kisa cha nchi iliyokuwa na wapiga kura mil. 3 kukafanyika uchaguzi wa raisi na mshindi akashinda kwa kura mil. 4.

Mijitu inauza mitihani kwa shule private zenye hela, inahongwa kupika matokeo mpaka inajisahau kuwa kuna takwimu na huwa hazidanganyi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] LIBERIA
 
Wakati mwingine unamuuliza mtu swali jepesi litakalomtamanisha kujitokeza kulijibu,atengeneze precedence. Huku una maswali yako korofi umeyaficha.
Exactly nahisi allikuwa anatafuta ufukunyuku
 
Mbona inawezekana kabisa, unless otherwise kama malisa hajui vinatumika vigezo gani kupanga shule Bora maana alipaswa achunguze kwanza kifatacho ni kuaibika Kwa kujikuta mjuaji, shule hazipangwi kwa madaraja bali Marks za watahiniwa

Inawezekana kilichotokea ni utofauti wa marks kwa hizo division ndio zimeweka tofauti ya madaraja kati ya hizo shule, unaweza kuta feza wanafunzi wake wamepata marks za kuvutia zaidi, maana wote mnaweza kuwa mmepata A ila issue inakuja ni A ya ngapi?

Na ukiangalia overall performance ya masomo katika hizo shule utagundua kuwa wanafunzi wa feza walifanya vizuri kuliko wanafunzi wa Anwarite, kwahiyo NECTA wako sahihi

Ukiangalia masomo kama physics feza kitaifa imekuwa ya 4 hao wengine nafasi ya 44, chemistry feza ya 16 hao wengine 116, biology feza ya 3 hao wengine 33, Mathematics feza ya 8 hao wengine 15 japokuwa mpambano ulikuwa Mkali
 
Wakati mwingine unamuuliza mtu swali jepesi litakalomtamanisha kujitokeza kulijibu,atengeneze precedence. Huku una maswali yako korofi umeyaficha.
Communication skills mtu kama huyo lazima awe zero kichwani a question must be clear and undetstood

Vinginevyo hata kama una degree waweza zomewa kuwa degee za siku hizi hovyo kabisa wanauliza maswali ya kijinga kuliko ya chekechea
 
1642939606174.png
 
Inawezekana Anwarite wamepass vizuri Sana kwa kigezo Cha KNOW HOW Ila Feza wakaenda mbali wakaongeza kigezo Cha KNOW WHO.
 
Ila Dada Joyce Alituvuruga Sana Kwenye Elimu Na English Yake Ya Kuvunjika
 
Nadhani ungeweka matokeo ya shule zote mbili ili wadau wajadili kitaalam zaidi, badala ya kujadili hayo maelezo pekee ya huyo Malisa.
 
Hoja yako Ina mashiko ,ila hapo mwishoni umeharibu ...

Skia, mpangilio wa shule Bora haufanywi Kwa kuangalia idadi ya division 1....Bali wanaangalia wastani wa pointi ( average grade points ) za hizo division 1 ,2 ,3 etc

Inawezekana hao Feza wamepata division 1 za 7 ,8 na 9 nyingi , division 2 za mwanzoni kbs na division 3 ya mwanzoni, huku hao Anwarite wakipata 1 za 7,8 9 chache na 1 za 17 ,16 ,15 nyingi ...

Inawezekana kbs ( japokuwa sijaona hayo matokeo )
 
Siku hizi masomo yamekuwa mepesi sana kwa wanafunzi! Yaani darasa zima linapata divisheni one! 🤔
 
Inasikitisha sana ila haya tunayataka wenyewe kama tumegundua tayari kuna udhaifu kwanini tusibadili hayo madhaifu?
 
Hoja yako Ina mashiko ,ila hapo mwishoni umeharibu ...

Skia, mpangilio wa shule Bora haufanywi Kwa kuangalia idadi ya division 1....Bali wanaangalia wastani wa pointi ( average grade points ) za hizo division 1 ,2 ,3 etc

Inawezekana hao Feza wamepata division 1 za 7 ,8 na 9 nyingi , division 2 za mwanzoni kbs na division 3 ya mwanzoni, huku hao Anwarite wakipata 1 za 7,8 9 chache na 1 za 17 ,16 ,15 nyingi ...

Inawezekana kbs ( japokuwa sijaona hayo matokeo )
Kwa haya maelezo yako, nadhani mtoa mada alitakiwa kuweka pia matokeo ya Feza kabla ya kuhukumu.
 
Katika usahishaji na upangaji wa matokeo kuna vitu huwa vinaangaliwa hasa content zisizo na doubts. In short kuna one zingine zina mashaka(za mchongo) na hupewa jina la weak.
 
Back
Top Bottom