Need I have to say more? 🚒

Gharama ya ku-revamp Air Tanzania so far ni zaidi ya $1 bln.

Alafu hizo ndege zenu hazijafika $1B, infact,hata $500m haijafika, mbali na hivyo, hapo umetaja ndege 8, those are 8 different items combined together.... hapo pia umeanguka,
Simple breakdown for u

2 dreamliners (one in order) $ 224.6 mln Γ— 2

2 A220-300 (in order) $ 89.5 mln Γ— 2

4 Q400 (one in order) $ 32.2 mln Γ— 4

There is at least $200 mln that was set aside for recruitment n operations costs. Things like IATA re-certifications, passenger reservation system, maintenance and engineering services, HAHN Air ticketing systems ninflight entertainment aside training for pilots n the crew, ground handling services, marketingand also paying debts acquired from parting ways with SAA.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€mengine haya.
Rukwa-wabongo walikuwa wanarukwa na akili kwa kuteswa .
Arusha-does it have anything to do with throwing stones? πŸ˜‚πŸ˜‚
Kijitonyama_a small river full of meat? πŸ˜‚πŸ˜‚
Daresalaam-darislum a big dark slum?
Upanga---
E.t.c. haya majina hunipa raha sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pia 20km Ubungo Kibaha highway (6 lanes)
 

Kama ni uwanja wa National Stadium basi una mchezo maanake uwanja huo umetoshana na wa Kasarani, tofauti wenu ni mpya.

Kenya Airways imenunua Dreamliner nane in the last 6 years, ninyi Dreamliner moja pekee hakukaliki huku. Kila siku Dreamliner. Sasa ukisema hiyo ni project na sisi tusemeje?

Usijisumbue na project ambazo zilipangwa na hazikukamilika Kenya maana hata huko Bongo kunazo nyingi mlizopigia kelele na hata kuanza hazijaanza ikiwemo Bagamoyo Port ambayo kila siku munachocha jinsi itakuwa the biggest in Africa. Ziangalie zile zilizokamilika na nimekuorodheshea ni nyingi kushinda zenu.

Wanja gani zingine mmejenga other than that JNIA terminal? Nimeorodhesha Wanja zilizojengwa from nothing to something modern. Huko kwenu uwanja wa tatu mkubwa wa Mwanza unakaa Zizi la ng'ombe Sasa hayo ni mambo ya kuongea mbele ya watu?

Aisee barabara nilizoorodhesha sio barabara za kawaida maana za kawaida nikiorodhesha utatoroka humu. Hizo ni barabara za kiana pana na zina overpasses na interchanges kadhaa. Hivi nikuuliza unionyeshe barabara inayofanana na Lang'ata Road, Ngong Road, Outering, Thika Road, Southern bypass et al utanionyesha Bongo nzima? Ndio maana sikubisha ulipoorodhesha BRT maanake naelewa BRT sio barabara ya kikawaidakawaida.
 
Please, show me the infrastructure you constructed, not tankers. Those Tankers do not belong to the Tanzanian government.
I gave u motion pictures otherwise u r stupid enough to argue on kind of image!

 
Hio ya Mombasa Nairobi ni useless kwa sababu tayari tunayo hio barabara. Pia ni private investment kwa hivyo wazungu ndio watakaojipanga.
 
Sisi tuna 10- lanes 50 km Thika superhighway, the best road in East Africa opened in 2013 by mzee Kibaki. Nyinyi endeleeni kufurahia 6--lane 20 km roads.
Hata Jogoo Road ni 6 lane, Enterprise Road (before expansion), Lusaka Road, Kenyatta Avenue, Waiyaki Way, Mombasa Road (before expansion) etc - Yaani 6 lane ni nyingi hata siwezi hesabu. Hata Kakamega sahii iko na 6 lane.
 
 
MI NASUBIRI SAFARI YA DRIMULAINA KUTOKA DAR MPKA MUMBAI..
 
Hata Jogoo Road ni 6 lane, Enterprise Road (before expansion), Lusaka Road, Kenyatta Avenue, Waiyaki Way, Mombasa Road (before expansion) etc - Yaani 6 lane ni nyingi hata siwezi hesabu. Hata Kakamega sahii iko na 6 lane.

So tuache kujenga sababu nyinyi mliishajenga???

Wacha tuwaonyeshe by 2020 how modern cities needed to be.saa hii ndio mnajua mlitangulia na ice bicycle.10 lanes na foreni iko vile vile unaweza ona ni jinsi gani ujenzi haukuzingatia mipango bali mizuka na show off.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…