Neema klabu ya Yanga, kampuni ya Marcon yamwaga bilioni 2 miaka mitatu

Konaball

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
2,949
Reaction score
1,940
20180116_160738.png

KLABU ya Yanga leo hii imeingia mkataba wa miaka mitatu na kampuni ya Macron wenye thamani ya Sh. Bilioni 2 kwa ajili ya utengenezaji na uuzaji wa jezi za klabu hiyo.

Akizungumza katika hafla ya kusaini mkataba huo leo makao makuu ya klabu, Jangwani, Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Yanga, Charse Boniphace Mkwasa amesema kwamba mkataba utakuwa na ongezeko kutokana na makubaliano waliyofikia.

Mwakilishi wa kampuni ya Macron Tanzania Bw. Suleyman Kareem, amesema wamevutiwa na Yanga kwa sababu ni klabu kubwa nchini hivyo itakuwa vizuri kufanya kazi na klabu hiyo.
 
Wanunuzi wa jezi rasmi za klabu na zinazouzwa kwa utaratibu tanzania hawapo watapata hasara wangeanza kudhibiti hizi feki zilizopo maana najua zitakuwa na bei ghali wakati zipo za bei ya kutupa
 
Naitamani ningeona wasaini na NIKE, ADIDAS au PUMA...
 
20180116_160738.png

KLABU ya Yanga leo hii imeingia mkataba wa miaka mitatu na kampuni ya Macron wenye thamani ya Sh. Bilioni 2 kwa ajili ya utengenezaji na uuzaji wa jezi za klabu hiyo.

Akizungumza katika hafla ya kusaini mkataba huo leo makao makuu ya klabu, Jangwani, Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Yanga, Charse Boniphace Mkwasa amesema kwamba mkataba utakuwa na ongezeko kutokana na makubaliano waliyofikia.

Mwakilishi wa kampuni ya Macron Tanzania Bw. Suleyman Kareem, amesema wamevutiwa na Yanga kwa sababu ni klabu kubwa nchini hivyo itakuwa vizuri kufanya kazi na klabu hiyo.
Wakuu tunaomba mtu mwenye details za hii kampuni someone is getting back through back door.
 
Bilioni 2 miaka mitatu, kweli hali mbaya matopeni..hela ya usajili simba msimu mmoja
 
Back
Top Bottom