NEEMA KUU: Bwawa la Nyerere kuzalisha umeme wenye thamani sawa na 50% ya makusanyo ya TRA nchi nzima, (Trillion 12 kwa mwaka)

Lakini tumeshaambiwa hata likianza kuzalisha umeme hakuna kitakachobadilika hasa kuhusu bei ya umeme. Itabaki ile ile. Usishangae hata mgawo ukaendelea. Hii nchi haieleweki tunakwenda mbele au tunarudi nyuma.
 
Umeme wq gharama bongo ni huu tunanunua 357 kwa unit,
Huko viwandan wenye matumizi makubwa wananunua kwa 150-80/unit,

Huo wastan wa 600 umeupata wapi ?
 
Lakini tumeshaambiwa hata likianza kuzalisha umeme hakuna kitakachobadilika hasa kuhusu bei ya umeme. Itabaki ile ile. Usishangae hata mgawo ukaendelea. Hii nchi haieleweki tunakwenda mbele au tunarudi nyuma.
 
Umeme wq gharama bongo ni huu tunanunua 357 kwa unit,
Huko viwandan wenye matumizi makubwa wananunua kwa 150-80/unit,

Huo wastan wa 600 umeupata wapi ?
Tufanye 400/=, bado ni kama Trillion 8 hivi..
 
 
Mkuu sio kila uzalishaji utakuwa sawa kama hesabu zako .

1. Kwanza kupata zote 2100MW kutategemea upatikanaji wa Mvua .Mvua isipokuwa ya kutosha hatuwezi kupata maxmum capacity .. Pia fahamu tukipata ukame kwa miaka kadhaa tunaweza kushindwa kuzalisha umeme kabisa . Mungu aepushie mbali.

2. Kuna Umeme unaopotea kutokana na mambo kadhaa , kutokana na machine losses kutokana na frinction, heat na conversion hizo zinaweza kuwa mpaka 10%.

3.Pia kuna umeme utakaopotea kutokana na upotevu kwenye miundo mbinu ya usafirishaji, Kwa sasa upotevu ni almost 25%.
4.Pia upo upotevu kwenye matumizi na wakati mwingine umeme kuzalishww bila kutumika.let say 10%

5.Pia kumbuka bei ya umeme sio 600Tshs kama ulivyosema .
6. Kuna Machine maintenance and operation time ambayo nayo itapunguza uzalishaji almost 5%

Kama JNPP itakuwa kwenye uzalishaji wake wa kiwango cha juu tutegemee kiasi cha 50% cha uzalishaji kuwa ni mapata … Less than 4T kwa mwaka

Fanya hesabu upya
 
1.) Ukame wa muda mfupi hauwezi kuleta athari katika uzalishaji hata kidogo, maana reservoir ni kubwa mno, infact lile ni ziwa, ni sawa na kusema ziwa victoria lipungue sababu ya ukame, its absolute nonsense.

2.) Losses za heat kuwa 10% zinaweza kupunguzwa significantly kwa kusafirisha umeme unaoenda mbali kwa kutumia higher voltages zaidi.., hili lifanyike.

3.) Unaposema 25% inapotea kwenye miundo mbinu unamaanisha wizi wa umeme sio? Kama unaibiwa hiyo haipunguzi thamani ya umeme uliozalishwa, uwe unaibiwa au kutumikaje its irrelevant, kikubwa umezalishwa umeme wa thamani hiyo.

4.) Upotevu kwenye mafumizi unamaanisha nini? Kuzalishwa bila kutumika ni jambo linaloweza kuepukika kwa kushusha bei ya umeme, hadi vijijini kule Haubi kwenye baridi wachemshe maji kwa kutumia heater za umeme, tuone huo utakaobaki bila kutumika ni upi..

5.) Bei ni generaliseation.., wapo wanaolipa chini ya hapo pia, huo ni wastani..

6.) Kuna mashine redundant ambazo huwashwa ili kuziba pengo la zile zinazofanyiwa maintanance..

Ikipungua sana ni Trillioni 10, tunataka tuone hizo pesa zimeenda wapi!!!!
 
R.I.P John Pombe Magufuli 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

 
Mkuu naomba nisome tena .

1. 2100MW ni maximum capacity ya 9 Engine Turbine , Ambayo kila moja inakadiliwa kuwa na max 235MW. Ukiambiwa hivi maana yake uzalisha mara nyingi unakuwa 90% ya kiwango cha juu. wasomi wa umeme tunajua tunaita power factor

2. Utafiti uliofanywa na wabobezi kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam ulibaini kuwa 25%ya kile kinachozalishwa kinapotea njiani kama losses na voltage drop kutokana na miundo mbinu chakavu na iliyopitwa na wakati.

3. Sio kila kinachozalishwa kipo kinachopotea bila kutumiwa.

Kuhusu bwawa kukauka na kushindwa kuzalisha umeme kwa kiwango kinachohitajika pia inawezekana. Maana kuna minimum level ya maji inahitajika ili kuzalisha umeme, chini ya hapo hata kama maji yapo hawawezi zungunsha turbine

Hii ni kitaalamu zaidi inahitaji shuke kuelewa. so almost 50% ya kinachozalishwa kitapotea bila kuwa mapato.

karibu mkuu
 
1.) & 2.) Sawa, ila hiyo 10% kama ni Tranmission losses kama ulivyosema, inaweza kuondolewa kwa kusafirisha umeme unaoenda mbali kwa kutumia msongo mkubwa zaidi. Na hiyo 25% inayopotea kutokana na voltage drop ya uchakavu wa miundombinu ni kitu kinachorekebishwa tayari, matrillion yalishatengwa kwa ajili ya kuboresha miundo mbinu chakavu, sio kitu inherent kwamba lazima kiwepo.

3.)Kwakuwa umeme unaozalishwa bado haitoshi, na hata ukija kutosha baada ya kuwashwa mitambo yote, tunaweza kushusha bei ya umeme iki hadi maji ya kuoga tuchemshe kwa heater, tuone kama utabaki bila kutumika

4.) Inawezekana ndio, ila Bwawa ni kubwa sana, na hata ikitokea si tutaona kwa macho, haitakuwa siri, ila so as long as ziwa limejaa vizuri, uzalishaji utaendelea

TRILLION 10 kila kwa mwaka, watuambie wanapeleka wapi sasa...
 
 
Mipango. Michongo. Maokoto.
Mipango. Wizi. Ubabaishaji
Wizi. Ubabaishaji. Upigaji
Ubabaishaji. Upigaji. Ahadi Hewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…