Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yule mwenye sweta la Tanzania?!!
Yule ni mkusanyaji wa pesa ya wizi tu, anamkusanyia mama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yule mwenye sweta la Tanzania?!!
Kama vipi ntakuita neema, kuanzia leo, maana inaonekana amekufurahisha sana kwa alichofanya( jokes)Kimeumanaaaaah.
Kuna mwamba anapinga sanaa kutumia haya maneno mawil ya kiingereza 'unless otherwise'Kwamba tutegemee utawasha moto na wewe au? Maana status ya mwisho yule binti aliandika hivo hivo 😂
Unless otherwise unatuusia tu.
Yule ni mkusanyaji wa pesa ya wizi tu, anamkusanyia mama.
7800? Apewe ngapi sasa?😁Hakuna dhambi kubwa inayozidi kumpa mtu 7800. Sema tu Mungu nae ana huruma sana.
Ndiyo maana sijamlaumu Neema na hili linaweza kumkuta mtu yeyote anayependa sana. Investment dear.Nakazia na kuongezea mstari wa mondi " kweli wapendanao ndio maadui zikitimia" kolola rafiki njoo dadafua huu msemo hukuu
Hata laki jamani7800? Apewe ngapi sasa?😁
😆Hata laki jamani