Neema Swai: Sifungi ndoa na Mrema

Neema Swai: Sifungi ndoa na Mrema

Hizi ndo habari wabongo tunataka yan Radio kubwa inakosa watu wa kuhoji ad inaleta habari za udaku daah
 
Mbowe, Lissu, Chadema, NCCR na wazalendo wote kipaumbele ni katiba mpya:

View attachment 2161891

Habari ndiyo hiyo.
1648042680900.jpeg


Unadhani katiba mpya inadaiwa kupitia wasap!!! Bila Serikali kuamua hakuna katiba mpya!! Mengine yatakuwa makelele tu ya mlango
 
BWAGA PICHA ya Halima kuondoa utata basi
Unaweza kuta Halima ni pisi moja ya kujificha nayo ndani, Dingi Mrema akatafuta vijana wa mjini wamwekee dogodogo ya CBE
 
Nilitaka kushangaa eti Mrema anafunga ndoa leo,hakuna ndoa inayofungwa kipindi cha kwaresma.
 
Inabidi serikali iunde tume ya uchunguzi au ili swala lipelekwe bungeni likajadiliwe
 
Back
Top Bottom