Neema Swai: Sifungi ndoa na Mrema

Hizi ndo habari wabongo tunataka yan Radio kubwa inakosa watu wa kuhoji ad inaleta habari za udaku daah
 
BWAGA PICHA ya Halima kuondoa utata basi
Unaweza kuta Halima ni pisi moja ya kujificha nayo ndani, Dingi Mrema akatafuta vijana wa mjini wamwekee dogodogo ya CBE
 
Maneno ya mitandaoni yamemkosesha mzee pisi kali. Pisi imebadili gia Angani
 
Nilitaka kushangaa eti Mrema anafunga ndoa leo,hakuna ndoa inayofungwa kipindi cha kwaresma.
 
Inabidi serikali iunde tume ya uchunguzi au ili swala lipelekwe bungeni likajadiliwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…