PreGE2025 Neema ya No Reform No Election Yaingia Kanda ya Kusini, kuanzia Masasi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Baraka za Idd El Fitri zimfikie kila mmoja wetu popote Alipo, tusherehekee kwa Amani.

Baada ya Utangulizi huo Muruwa, naomba niingie moja kwa moja kwenye hoja.

Ni hivi, Ile kampeni Tukufu ya No Reform No Election sasa inaingia Kanda ya Kusini, Na kwa Uzuri wa Bahati imeangukia Masasi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Taarifa ya Chadema iliyosambazwa Duniani Kote hii hapa.

Screenshot_2025-03-31-20-18-33-1.png

Watu wa Kusini jambo hili ni neema kubwa sana kwenu, msikose, Ukitaka kujua umuhimu wa jambo hili angalia Makaburi ya ndugu zenu waliouawa kwa ajili ya Uchaguzi ama kwa ajili ya ile gesi, Nani kasahau?
 
Na petition imeshaanzishwa Wananchi wanatia siani zao za kutaka TUME HURU UCHAGUZI halafu zinapelekwa kwenye Ofisi za UMOJA WA MATAIFA pale Daresalaama.
Ukitema Nchale, ukimung'unya Nchale!
 
Baraka za Idd El Fitri zimfikie kila mmoja wetu popote Alipo, tusherehekee kwa Amani.

Baada ya Utangulizi huo Muruwa, naomba niingie moja kwa moja kwenye hoja.

Ni hivi, Ile kampeni Tukufu ya No Reform No Election sasa inaingia Kanda ya Kusini, Na kwa Uzuri wa Bahati imeangukia Masasi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Taarifa ya Chadema iliyosambazwa Duniani Kote hii hapa.

View attachment 3289138

Watu wa Kusini jambo hili ni neema kubwa sana kwenu, msikose, Ukitaka kujua umuhimu wa jambo hili angalia Makaburi ya ndugu zenu waliouawa kwa ajili ya Uchaguzi ama kwa ajili ya ile gesi, Nani kasahau?
Neema au mkosi!
 
Mungu ibariki kazi hii
 
Back
Top Bottom