PreGE2025 Neema ya No Reform No Election Yaingia Kanda ya Kusini, kuanzia Masasi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huku Mbeya mpaka watoto wa shule wanaimba No reform No election
 
Baraka za Idd El Fitri zimfikie kila mmoja wetu popote Alipo, tusherehekee kwa Amani.

Baada ya Utangulizi huo Muruwa, naomba niingie moja kwa moja kwenye hoja.

Ni hivi, Ile kampeni Tukufu ya No Reform No Election sasa inaingia Kanda ya Kusini, Na kwa Uzuri wa Bahati imeangukia Masasi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Taarifa ya Chadema iliyosambazwa Duniani Kote hii hapa.

View attachment 3289138

Watu wa Kusini jambo hili ni neema kubwa sana kwenu, msikose, Ukitaka kujua umuhimu wa jambo hili angalia Makaburi ya ndugu zenu waliouawa kwa ajili ya Uchaguzi ama kwa ajili ya ile gesi, Nani kasahau?

View: https://x.com/swahilitimes/status/1906749095244369975?t=yuyHHilMyRZSDMywTdy0zw&s=19
 
Tundu Lissu amewataka Viongozi wa Dini kuacha kuwaombea Dua viongozi wanaokandamiza Demokrasia , kuua Demokrasia na kusababisha mauaji wakati wa Uchaguzi.

Screenshot_2025-03-31-20-31-32-1.png
 
Baraka za Idd El Fitri zimfikie kila mmoja wetu popote Alipo, tusherehekee kwa Amani.

Baada ya Utangulizi huo Muruwa, naomba niingie moja kwa moja kwenye hoja.

Ni hivi, Ile kampeni Tukufu ya No Reform No Election sasa inaingia Kanda ya Kusini, Na kwa Uzuri wa Bahati imeangukia Masasi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Taarifa ya Chadema iliyosambazwa Duniani Kote hii hapa.

View attachment 3289138

Watu wa Kusini jambo hili ni neema kubwa sana kwenu, msikose, Ukitaka kujua umuhimu wa jambo hili angalia Makaburi ya ndugu zenu waliouawa kwa ajili ya Uchaguzi ama kwa ajili ya ile gesi, Nani kasahau?
"Mchimba kaburi,
Mchimba kaburi,
Kaingia mwenyewe, kaingia!"

Kalikuwa ka wimbo kazuri sana!
 
Back
Top Bottom