Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Washindwe waoKanda ya kusini wana bahati sana kampeni za LINDA DEMOKRASIA zinaendelea huko na sasa NO REFORMS NO ELECTION nayo inaingia Kusini
Tulionya tukapuuzwaKimbunga juu ya Kimbunga ...muda si mrefu upande ulee MAYOWE!!!!
Ukitema Nchale, ukimung'unya Nchale!Na petition imeshaanzishwa Wananchi wanatia siani zao za kutaka TUME HURU UCHAGUZI halafu zinapelekwa kwenye Ofisi za UMOJA WA MATAIFA pale Daresalaama.
Bibie salamu za Wananchi wa Kanda ya Nyasa naona kazipata bado na Kanda ya kusini Mashariki.Ukitema Nchale, ukimung'unya Nchale!
HakikaNo reforms No Election!!
Link iko wapi mkuu na sisi tumwage winoNa petition imeshaanzishwa Wananchi wanatia siani zao za kutaka TUME HURU UCHAGUZI halafu zinapelekwa kwenye Ofisi za UMOJA WA MATAIFA pale Daresalaama.
Neema au mkosi!Baraka za Idd El Fitri zimfikie kila mmoja wetu popote Alipo, tusherehekee kwa Amani.
Baada ya Utangulizi huo Muruwa, naomba niingie moja kwa moja kwenye hoja.
Ni hivi, Ile kampeni Tukufu ya No Reform No Election sasa inaingia Kanda ya Kusini, Na kwa Uzuri wa Bahati imeangukia Masasi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Taarifa ya Chadema iliyosambazwa Duniani Kote hii hapa.
View attachment 3289138
Watu wa Kusini jambo hili ni neema kubwa sana kwenu, msikose, Ukitaka kujua umuhimu wa jambo hili angalia Makaburi ya ndugu zenu waliouawa kwa ajili ya Uchaguzi ama kwa ajili ya ile gesi, Nani kasahau?
Sijaiona ya online ila nimeiona ile ya old school.Link iko wapi mkuu na sisi tumwage wino
Kama ubongo uko chini juu kwa sababu ya ajali ya bodaboda hilo siyo kosa letuNeema au mkosi!
Tutaiweka hiyo, UsikondeSijaiona ya online ila nimeiona ile ya old school.
Mungu ibariki kazi hiiBaraka za Idd El Fitri zimfikie kila mmoja wetu popote Alipo, tusherehekee kwa Amani.