Rais mkombozi wa Tanzania hajazaliwa, chama cha ukomobzi hakipo. Uadilifu kama wa CDM hauna tofauti hata kidogo na CCM. Kama CDM inashindwa ku-account for 9 billion za ruzuku fedha za walipa kodi, tutegemee nini iwapo hazina yote itakuwa mikononi mwao. Ni hatari tupu. Wengi wa vyama vya upinzani ni makapi ya CCM. Hawana jipya.