Neema zaidi kwa watanzania-Survey shows huge gas, oil potential at Kilosa-Kilombero

Neema zaidi kwa watanzania-Survey shows huge gas, oil potential at Kilosa-Kilombero

Rais mkombozi wa Tanzania hajazaliwa, chama cha ukomobzi hakipo. Uadilifu kama wa CDM hauna tofauti hata kidogo na CCM. Kama CDM inashindwa ku-account for 9 billion za ruzuku fedha za walipa kodi, tutegemee nini iwapo hazina yote itakuwa mikononi mwao. Ni hatari tupu. Wengi wa vyama vya upinzani ni makapi ya CCM. Hawana jipya.

misukule na mapepo ya lumumba kazini
 
WATANZANIA NA AKILI ZAO NA KWA HALI WALIZONAZO UMASIKINI ULIOTAPAKAA "HAWAUCHOKI HUU UKOO WA PANYA NA VIZAZI VYAKE IT MAY BE ANAYESAPOTI HUU UKOO KWA VYOVYOTE NAE NI PANYA AU ANA MASILAHI NA PANYA HAWA WASIO NA HAYA WAMEPEKECHA KILA KITU MAANDAKI TUNAYO TELE LAKINI BADO TU DUNI YARAAB EWE MOLA WETU WAFUMBUE WAJA WAKO WAYAONE MAMBO KWA UZIRI UWAJALIE FAHMU
NA HIKMA NDANI YA AKILI ZAO WAWEZE KUTABAYARISHA YALIYO MEMA NA MABAYA, ameen!

usìhofu mkuu mwisho wa huu ukoo wa panya umefika, hakuna kilicho na mwanzo kisiwe na mwisho, wameiba, wameua, wameng'oa watu kucha na meno lkn watu wameendele kuwakataa
 
As much as i like Late Nyerere but i hate to admit that i dislike some of his legacy he left behind.This Constitution he participated to create was a grave he made for Tanzanians.In short Nyerere was the chief architect of the disasters We Tanzanians find ourselves in today.That's the fact.
Yes am on the same track with you.He is the one who brought this virus with no cure which is kiliing not only our body but even our souls..and the name iiiiiiiiiiiisss CCM AND ITS REGIME.
 
Back
Top Bottom